Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dude Ampa Makavu Q-Chillah

MWONGOZAJI na mwigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amemtolea uvivu msanii wa muziki wa kizazi kipya na mwigizaji wa filamu, Shabani Katwila ‘Q-Chillah’ kwa kumwambia kuwa katika filamu hakuna ubishoo zaidi ya uhalisia na uhusika kwa filamu husika.

“Napenda kumwambia mdogo wangu Q-Chillah huku siyo kama katika muziki, huku tunavaa kulinga na uhusika, siyo kuvaa tu ilimradi umevaa tu, maskini hawezi kuvaa suti, au mchungaji kuvaa pensi au kuonekana...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MTITU AMPA MAKAVU JB

Stori: Mwandishi Wetu KATIKA hali ya kushangaza msanii wa filamu na Mkurugenzi wa Five Effect, William Mtitu amemchana live msanii mwenzake, Jacob Stephen ‘JB’ baada ya kutoa mchango mdogo kwenye msiba wa Sheila Haule ‘Recho’. Msanii wa filamu na Mkurugenzi wa Five Effect, William Mtitu (wa tatu kutoka kushoto) akiwa karibu na jeneza la Recho Haule. Akizungumza msanii mmoja wa filamu ambaye hakutaka...

 

10 years ago

Vijimambo

ZARI AMPA MAKAVU SEPETUNGA WEMA

Mrembo na mjasiliamali kutoka Uganda, Zari Hassan ameonekana kushangazwa na kitendo cha mwigizaji Wema Sepetu kukejeli ujauzizo alionao ambao amepewa na Diamond ambae alikuwa mpezi wa Wema.
Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandao kuwa wao hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli yanayosomeka ‘Mimba My Foot”kama yanavyosomeka kwenye...

 

10 years ago

GPL

LUCY KOMBA AMPA BOZI MAKAVU LIVE

Mayasa Maliwata STAA wa filamu Bongo, Lucy Komba ameamua kumpa makavu laivu msanii asiyeishiwa vioja, Fatuma Ayubu `Bozi’ anayetajwa kuwa na orodha kubwa ya mastaa aliobanjuka nao kwa kumtaka akumbuke kutumia kinga ama kutulia na bwana mmoja.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1IRCCfq

 

10 years ago

Vijimambo

JOKATE: DIAMOND HANA AKILI TIMAMU....AMPA MAKAVU LAIVU KWEUPE


Staa wa urembo, muziki, filamu na ujasiriamali Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ au ‘Jojo’ amemrushia maneno makali aliyewahi kuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa hana akili timamu kufuatia maneno aliyotoa kuwa enzi za uhusiano wao, eti mwanadada huyo alikuwa akichenga kumzalia mtoto.MAHOJIANOKatika mahojiano maalum ya hivi karibuni kupitia Kipindi cha Mtu Kati cha Runinga ya GlobalTV Online chenye makao yake makuu ndani ya Ofisi za Global Publishers zilizopo Bamaga-Mwenge,...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wastara Ampa Ampa Kichapo Bondi

KAZI ipo! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kumpa kichapo kikali aliyekuwa mwandani wake, Bond Suleiman baada ya kupatwa na kile kinachosemwa kuwa ni kupandisha majini.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, kupandisha majini hayo kulitokana na jinsi ambavyo mwanaume huyo amekuwa akimtendea mpenziwe huyo, ambaye inadaiwa katika kupandisha huko, alitoa maelekezo ya namna anavyotakiwa kufanya.

“Nakuambia ilikuwa varangati siku hiyo, Wastara alipandisha majini akiwa na Bond, walikuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Q-Chillah kuipua ‘Always Be Around’

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abubakar Shaaban ‘Q-Chillah’ anatarajiwa kuachia kazi yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina la ‘Always Be Around’ ambayo ameshirikiana na wakali kibao wanaotamba...

 

10 years ago

GPL

JB: JIONEE ALINICHONIFANYA Q-CHILLAH!

Stori: Mwandishi Wetu
Sura ya mauzo kwenye Bongo Movies, Jacob Steven ‘JB’ ameweka plain kwamba alichomfanyia staa wa Bongo Fleva, Aboubakar Shaban Katwila ‘Q-Chillah’ kwa mara ya kwanza kwenye filamu yake ya Hukumu ya Ndoa Yangu (part III), kimemshtua.
Akistorisha na safu hii, JB alifunguka kwamba staa huyo ambaye amerudi upya aliitendea haki sinema hiyo kwani alionesha kipaji cha aina...

 

9 years ago

Global Publishers

Q Chillah, MB Dog wajiandaa na kolabo

qchillah
Mkongwe katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’.

Said Ally, Dar es Salaam
WAKONGWE katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’ na Mbwana Mohamed ‘MB Dog’ kwa sasa waumeungana kuhakikisha wanarudi kukonga nyoyo za mashabiki wao ambao wamewamisi kwa muda mrefu.

Q Chillah na MB Dog kwa vipindi tofauti waliwahi kubamba kwenye tasnia hiyo kabla ya kupotea na sasa wanarejea tena.

wwe33333MB Dog.

Akizungumza na Mikito Jumatano, Q Chillah alisema kuwa...

 

10 years ago

GPL

Q-CHILLAH ALAMBA MKATABA MNONO

Mbongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akipokea mkataba kutoka 'QS Mhonda J Company'. 'Legend' kwenye gemu la Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akipozi. Na mwandishi wetu
LEGEND kwenye gemu la Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ amelamba mkataba wa nguvu…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani