JB: JIONEE ALINICHONIFANYA Q-CHILLAH!
![](http://api.ning.com:80/files/vYFBfoh8eSqx**pNFreaMwWpNn5Q3aG8W2BO9ZEF2zG9J-AqlriX82XYKSQByZxzQkUTb1RzNLDcqU9gmP7lRbk5Y3LKoo3W/jbmzigompya.jpg?width=650)
Stori: Mwandishi Wetu Sura ya mauzo kwenye Bongo Movies, Jacob Steven ‘JB’ ameweka plain kwamba alichomfanyia staa wa Bongo Fleva, Aboubakar Shaban Katwila ‘Q-Chillah’ kwa mara ya kwanza kwenye filamu yake ya Hukumu ya Ndoa Yangu (part III), kimemshtua. Akistorisha na safu hii, JB alifunguka kwamba staa huyo ambaye amerudi upya aliitendea haki sinema hiyo kwani alionesha kipaji cha aina...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Q-Chillah kuipua ‘Always Be Around’
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abubakar Shaaban ‘Q-Chillah’ anatarajiwa kuachia kazi yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina la ‘Always Be Around’ ambayo ameshirikiana na wakali kibao wanaotamba...
10 years ago
MichuziUSIKU WA JIONEE ULIVYOFANA JIJINI MBEYA
10 years ago
Bongo Movies09 Dec
MITANDAONI:Jionee Shilole Feki Akimwaga Ngeli
Lile wimbi la watu kutumia majina ya mastaa kwenye mitandao ya kijamii likiwa bado linaendelea kwa kasi. Bongo movies imekutana huyu anejiita SHILOLE CLASIC.
Akijifanya kuwa yeye ni Shilole, ambae mwigizaji na mwanamziki maarufu hapa Bongo. Hebu tusaidiane kusoma hii NGELI alioitoa hapa.
Baada ya taarifa hizi kumfikia Shilole mwenye hiki ndicho alichokisema.
“Nimetumiwa hii pic na kaka yangu dully sykes kuhusu hii account fake ya Facebook na najisikia vibaya coz si Mimi na kama...
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Q Chillah, MB Dog wajiandaa na kolabo
Mkongwe katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’.
Said Ally, Dar es Salaam
WAKONGWE katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’ na Mbwana Mohamed ‘MB Dog’ kwa sasa waumeungana kuhakikisha wanarudi kukonga nyoyo za mashabiki wao ambao wamewamisi kwa muda mrefu.
Q Chillah na MB Dog kwa vipindi tofauti waliwahi kubamba kwenye tasnia hiyo kabla ya kupotea na sasa wanarejea tena.
MB Dog.
Akizungumza na Mikito Jumatano, Q Chillah alisema kuwa...
10 years ago
Bongo Movies08 Dec
Dude Ampa Makavu Q-Chillah
MWONGOZAJI na mwigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amemtolea uvivu msanii wa muziki wa kizazi kipya na mwigizaji wa filamu, Shabani Katwila ‘Q-Chillah’ kwa kumwambia kuwa katika filamu hakuna ubishoo zaidi ya uhalisia na uhusika kwa filamu husika.
“Napenda kumwambia mdogo wangu Q-Chillah huku siyo kama katika muziki, huku tunavaa kulinga na uhusika, siyo kuvaa tu ilimradi umevaa tu, maskini hawezi kuvaa suti, au mchungaji kuvaa pensi au kuonekana...
10 years ago
GPLQ-CHILLAH ALAMBA MKATABA MNONO
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-AGDdzx4sv_E/VcLotYpz5lI/AAAAAAAACQY/UNtNz_2CNqA/s72-c/kigwa.jpg)
KIGWANGWALA KAM-BEZA LOWASSA MTANDAONI, JIONEE HAPA
![](http://4.bp.blogspot.com/-AGDdzx4sv_E/VcLotYpz5lI/AAAAAAAACQY/UNtNz_2CNqA/s640/kigwa.jpg)
August 5-2015 alitumia page yake ya twitter kuyatoa yake ya moyoni kwa kuandika sentensi kadhaa kuhusu CHADEMA na Edward Lowassa kwa kuandika >>> ‘Baada ya safari ya matumaini kufa nimeambiwa Edward Lowassa ameiba jina la safari ya mabadiliko toka kwa Kigwangalla‘
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/13SlHjEdb8NPcZD6EX5cfXKACgVNfW9Tc8X0*rL8NiwYRF0p5M39KhT6ara9c7NbUcdjVYM2l4rWl1RwqBLCG6kbp1SODkda/qchillah.jpg?width=650)
Q CHILLAH: JINA LANGU LINANIFANYA NIJITUME