MITANDAONI:Jionee Shilole Feki Akimwaga Ngeli
Lile wimbi la watu kutumia majina ya mastaa kwenye mitandao ya kijamii likiwa bado linaendelea kwa kasi. Bongo movies imekutana huyu anejiita SHILOLE CLASIC.
Akijifanya kuwa yeye ni Shilole, ambae mwigizaji na mwanamziki maarufu hapa Bongo. Hebu tusaidiane kusoma hii NGELI alioitoa hapa.
Baada ya taarifa hizi kumfikia Shilole mwenye hiki ndicho alichokisema.
“Nimetumiwa hii pic na kaka yangu dully sykes kuhusu hii account fake ya Facebook na najisikia vibaya coz si Mimi na kama...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Jul
KISWAHILI KWA WANAFUNZI: Ngeli tisa za Kiswahili na upatanisho wa kisarufi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vYFBfoh8eSqx**pNFreaMwWpNn5Q3aG8W2BO9ZEF2zG9J-AqlriX82XYKSQByZxzQkUTb1RzNLDcqU9gmP7lRbk5Y3LKoo3W/jbmzigompya.jpg?width=650)
JB: JIONEE ALINICHONIFANYA Q-CHILLAH!
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/UJJeET00R40/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini
Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.
Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...
10 years ago
MichuziUSIKU WA JIONEE ULIVYOFANA JIJINI MBEYA
10 years ago
Bongo515 Dec
Shilole: Sio kwamba nimeacha kuigiza ila nafatutia timing, asema filamu ijayo itakuwa ni true story (Shilole In Dar)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-AGDdzx4sv_E/VcLotYpz5lI/AAAAAAAACQY/UNtNz_2CNqA/s72-c/kigwa.jpg)
KIGWANGWALA KAM-BEZA LOWASSA MTANDAONI, JIONEE HAPA
![](http://4.bp.blogspot.com/-AGDdzx4sv_E/VcLotYpz5lI/AAAAAAAACQY/UNtNz_2CNqA/s640/kigwa.jpg)
August 5-2015 alitumia page yake ya twitter kuyatoa yake ya moyoni kwa kuandika sentensi kadhaa kuhusu CHADEMA na Edward Lowassa kwa kuandika >>> ‘Baada ya safari ya matumaini kufa nimeambiwa Edward Lowassa ameiba jina la safari ya mabadiliko toka kwa Kigwangalla‘