Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIKU WA JIONEE ULIVYOFANA JIJINI MBEYA

Wakili Sambwee Shitambala akizungumza jambo na baadhi ya wadau na wasanii wa muziki wa Kizazi kipya mkoa wa Mbeya katika tafrija iliyo fanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Gorden City hotel, uliopo eneo la Sae  na hii ni baada ya kuzindua albamu ya msanii berdon mnyama iendayo kwa jina la "Jionee",iliyo sapotiwa na media mbali mbali ikiwemo vituo vya radio zote za jiji la mbeya sambamba na Michuzi Media Group.picha na Fadhili Atick (Mr.Pengo) Globu ya Jamii, Mbeya. Msanii anae fanya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

USIKU WA ZARI ALL WHITE PARTY ULIVYOFANA NDANI YA MLIMANI CITY JIJINI DAR

Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City usiku huu. Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City. Zari na Diamond wakati wakiingia ukumbini usiku huu. (PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS /…

 

10 years ago

Vijimambo

USIKU WA HERIETH PALLANGYO ULIVYOFANA

 Biharusi mtarajiwa Herieth Charles Pallangyo akiwa kwenye pozi muda mfupi kabla ya kuanza tafrija yake maalum ya kugana na familia yake kbla ya kufunga ndoa. Tafrija ya kumpongeza na kumuaga iliyofanyika ukumbi wa Giraffe Sunset, Mbezi Beach Dar es Salaam.
 Herieth akiwa katika pozi la picha na mama yake  Wazaa chema Bwana na Bibi Charles Pallangyo wakiwa katika pozi.
Picha zaidi bofya hapa

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMUZI YA NGUVU KATIKA USIKU WA ZAX 4 REAL JIJINI MBEYA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya afahamikae kwa jina la Zax 4 Real, Anae fanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya jijini mbeya, Amefanya vizuri pia katika show yake ya Usiku Wa Zax 4 Real, iliyo dhaminiwa na vituo vya redio vya Mbeya Fm, Bomba Fm,Rock Fm,G.Fm,Highlands Fm,Sweet Fm,Boys 2 Men Fasheni,Southside Music,Cigger Foundation na Michuzi Media Group. Katika ukumbi wa Nebana pub Soweto jijini Mbeya.Picha na Mr. Pengo wa Globu ya Jamii,Mbeya. Msanii Zax 4 Real akiwapagawisha...

 

11 years ago

GPL

MOTO MKUBWA WAZUKA JANCO MOTEL JIJINI MBEYA USIKU WA KUAMKIA LEO

Moto mkubwa umezuka katika Hoteli ya Janco iliyopo Forest Mpya jijini Mbeya usiku wa kuakia leo. Chanzo cha moto huo hakijajulikana.…

 

10 years ago

Vijimambo

FM ACADEMIA 'WAZEE WA NGWASUMA' YAMOTO BAND NA BARBANAS KUWASHA MOTO USIKU WA ONYESHO LA 'USIKU MWEUPE' JIJINI DAR


Na Mwandishi Wetu. FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' Yamoto Band na Barbanas, kesho watakuwa na onesho maalum liitwalo 'Usiku Mweupe' litakalofanyika kwenye ukumbi wa Escape One, uliopo mikocheni Dar es Salaam.Mratibu wa onesho hilo Wiliam Malecela, alisema kuwa kila kitu kipo vizuri ambapo onesho hilo litaanza saa 3, usiku.Alisema kuwa dhumuni la kufanya onesho la pamoja kwa bendi hizo na msanii huyo anayefanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya ni kutaka kuuinua muziki wa dansi ambao...

 

11 years ago

GPL

AZAM FC WAKIPASHA MISULI KABLA YA KUWAKABILI MBEYA CITY JIJINI MBEYA

Wachezaji wa Azam FC wakipasha misuli ndani ya Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya muda mfupi kabla ya kukwaana na Mbeya City leo. (PICHA NA…

 

10 years ago

Michuzi

KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA MBEYA CONSTANTINE MUSHI AFUNGUA RASMI SEMINA YA MAAFISA MAZINGIRA JIJINI MBEYA LEO

Mkuu wa Kitengo cha Mazingira, Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Gideon Kasege (kulia) akitoa maelekezo kwa baadhi ya wawasilishaji mada katika mafunzo yanayoshirikisha maafisa mazingira katika mikoa ya Iringa na Mbeya yanayofanyika jijini Mbeya leo. Lengo la mafunzo hayo ni kuwashirikisha mpango kazi wa Wizara ya Nishati na Madini pamoja na kupata michango yao. Kushoto ni Meneja wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Nyanda za Juu Kusini David Elias. Katikati ni Afisa Mazingira...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani