MAKAMUZI YA NGUVU KATIKA USIKU WA ZAX 4 REAL JIJINI MBEYA
![](http://1.bp.blogspot.com/--Hdc1kdWK0s/VF-sZOcxZ3I/AAAAAAAAn-w/cTrxOwNNdkw/s72-c/NO%2B2%2B(2).jpg)
Msanii wa muziki wa kizazi kipya afahamikae kwa jina la Zax 4 Real, Anae fanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya jijini mbeya, Amefanya vizuri pia katika show yake ya Usiku Wa Zax 4 Real, iliyo dhaminiwa na vituo vya redio vya Mbeya Fm, Bomba Fm,Rock Fm,G.Fm,Highlands Fm,Sweet Fm,Boys 2 Men Fasheni,Southside Music,Cigger Foundation na Michuzi Media Group. Katika ukumbi wa Nebana pub Soweto jijini Mbeya.Picha na Mr. Pengo wa Globu ya Jamii,Mbeya.
Msanii Zax 4 Real akiwapagawisha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Twanga Pepeta wafanya shoo ya nguvu Maisha Club usiku wa kuamkia leo jijini Dar
Kiongozi na mwimbaji wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (wa pili kutoka kulia), akiwa na Kalala Junior (wa pili kutoka kushoto) pamoja na Haji Ramadhani (wa kwanza kulia) wakitoa burudani kwa mashabiki wao kwenye shoo iliyofanyika club ya Maisha jijini Dar
Waimbaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya Maisha jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
Kiongozi na mwimbaji wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akicheza moja ya nyimbo zao kwenye...
10 years ago
MichuziUSIKU WA JIONEE ULIVYOFANA JIJINI MBEYA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cMo845SLBX1475-wPlxSFaRn1dzsydvxwY9SgDwx0L7OTzXa2mDMM0DXLQGPmUETJq323Zdhv9C55wn5E1oHSy4D9lDsSJbj/MBEYA.jpg?width=650)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*EqvtGjmCN5p1T1gYC1ac3Ri5mbC2YO8AOcyD2qY901Gi3axj4UPCvOwHKQCeJ*wuz4hoVKylYpukgKeH7FFUGn1r1p1sUSh/diamond.png?width=650)
DIAMOND AFANYA MAKAMUZI YA NGUVU BIG BROTHER HOTSHOTS
9 years ago
VijimamboFM ACADEMIA WADONDOSHA SHOW YA NGUVU JIJINI MBEYA CHINI YA UDHAMINI YA KINYWAJI CHA K-VANT GIN
11 years ago
GPLMOTO MKUBWA WAZUKA JANCO MOTEL JIJINI MBEYA USIKU WA KUAMKIA LEO
10 years ago
Bongo530 Aug
Picha: Wasanii watakaotumbuiza kwenye Serengeti Fiesta Moshi waahidi makamuzi ya nguvu
11 years ago
MichuziDIAMOND PLATNUMZ AFANYA MAKAMUZI YA NGUVU KANSAS CITY, MISSOURI NCHINI MAREKANI