USIKU WA HERIETH PALLANGYO ULIVYOFANA
Biharusi mtarajiwa Herieth Charles Pallangyo akiwa kwenye pozi muda mfupi kabla ya kuanza tafrija yake maalum ya kugana na familia yake kbla ya kufunga ndoa. Tafrija ya kumpongeza na kumuaga iliyofanyika ukumbi wa Giraffe Sunset, Mbezi Beach Dar es Salaam.
Herieth akiwa katika pozi la picha na mama yake
Wazaa chema Bwana na Bibi Charles Pallangyo wakiwa katika pozi.
Picha zaidi bofya hapa
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUSIKU WA JIONEE ULIVYOFANA JIJINI MBEYA
10 years ago
GPLUSIKU WA ZARI ALL WHITE PARTY ULIVYOFANA NDANI YA MLIMANI CITY JIJINI DAR
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-71ObNHAskM7X5Js9Vs2075XPQ8JXl35OwZoLSkDL27DvwLHRFeXClE7h-GDHD7oX3xpvHSdj7UOFA9QtJJRE72/herieth.jpg?width=650)
HERIETH: BONGO MUVI WAMENITUPIA JINI
10 years ago
Dewji Blog12 Feb
Picha za ufunguzi wa Sauti za Busara 2015 ulivyofana Ngome Kongwe leo
Na Andrew Chale wa modewjiblog, Zanzibar
Ufunguzi wa Tamasha la Kimataifa la Muziki la Sauti za Busara 2015, umetia fora baada ya kukusanya umati wa watu wengi waliojumuika pamoja kwenye mitaa mbalimbali ya Unguja na kuungana na paredi.
Tamasha la Sauti za Busara kila mwaka katika ufunguzi wake huambatana na paredi huku umati wa watu wakijumuika pamoja na kusherehekea kwa amani na kuandamana mpaka Ngome Kongwe. paredi ya leo ilianzia Magereza Miembeni hadi Ngome Kongwe. Zifuatazo ni baadhi...
10 years ago
MichuziMH. JOSHUA NASARI AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MWANAFUNZI WA IFM EMMANUEL P. PALLANGYO,SING'ISI MERU ARUSHA
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Bongo521 Jan
Herieth Paul (Tanzania) aongoza orodha ya models 10 wa Afrika wanaofanya vizuri duniani
10 years ago
Bongo515 Aug
Exclusive Interview with Herieth Paul — New York based Tanzanian super model (Photos)
10 years ago
VijimamboMBUNGE MH. JOSHUA NASARI AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MWANAFUNZI WA IFM EMMANUEL P. PALLANGYO ,SING'ISI MERU ARUSHA.
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Qg0yxdZS1X8/default.jpg)
MJUE SUPER MODEL HERIETH PAUL MTANZANIA ALIYEPATA MKTATABA NA SEPHORA COSMETICS & BEAUTY
Ninafurahi kukupa taarifa hii mahususi ya Binti MTANZANIA - HERIETH PAUL - SUPER MODEL anayeishi Canada na Marekani na kufanya kazi zake ‘around the Globe’.
Video mbili ni baadhi tu ya interview alizofanya leo 01/9/2015 - na CTV - Ottawa akizungumzia Mkataba wa kazi alioingia na KAMPUNI kubwa duniani ya vipodozi ‘Sephora Cosmetics & Beauty’ na video ya pili ni MORNING LIVE – Ottawa, ambayo anaelezea mafanikio yake kwa nia ya kuwahamsisha wasichana wa umri wake waweze KUJIAMINI na...