HERIETH: BONGO MUVI WAMENITUPIA JINI
![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-71ObNHAskM7X5Js9Vs2075XPQ8JXl35OwZoLSkDL27DvwLHRFeXClE7h-GDHD7oX3xpvHSdj7UOFA9QtJJRE72/herieth.jpg?width=650)
Na Gladness Mallya na Hamida Hassan Unaamini kurogwa? Hebu msikie huyu! Baada ya kuugua kwa muda mrefu, msanii wa filamu za Kibongo ambaye alikuwa ni mama mlezi wa klabu ya waigizaji ya Bongo Movie Unity (Bongo Muvi), Herieth Chumila, amefunguka kuwa ametupiwa majini na wenzake katika tasnia hiyo. Akizungumza na gazeti hili juzikati, Herieth alisema ni muda mrefu tangu alipoanza kuugua ambapo alikwenda hospitali mbalimbali, kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdZPPPBByfAT22W5O61F41zCtmYcl23SzY34F8ewWPA8aW96LBPBXlxPhQAWpdBJkf7qMgQaa1cWKwL2Izl*SYYg/kisomo.jpg)
BONGO MUVI WACHAFUKA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqxMr-0sxX9bL0jwABAZzFUcPAQ0V8nUIA84wV5TdbJog1BjXbSxib7NNq0rND*D2K9kuAo1dATKx0iGLAcOjLyi/1...jpg?width=650)
BONGO MUVI KIMENUKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U8LSueg-IYqwsbZOC0lv5wwEkdbgnLL*QVVtcHFQfEIhZRYQJGFEV2bQVY5O1zXBtWP7p-P8NrKnVoewDvkty074dIxR2owp/mastAA.jpg?width=650)
MASTAA WAJIENGUA BONGO MUVI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*VIktgDvv6rVrpnFDeACDyql1nbekbRTlYbL4GANU4K1eJCI*vCV6xtpKZz03Q*6j-hiorJJDlq1mbBprImkh1G/steve8.jpg)
MISS BONGO MUVI KUSAKWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i*tFWQTF2R8dKhK8VotocUDh45icBSjElp7osgaji9PtiynZ9fMHizcFGbFn73lgMwlKqrRq-fotFieE45FlhUeI8m3aFCEE/RISASI.jpg?width=650)
BONGO MUVI KUNA MASHOGA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04auDoHJ1iotM8JfcH5HZrDoTiacfID8M4e5jjUNpZEEqisceksU6hVBOaMtY5NYn-fNWIhDyXkcQbAEscG1yv6w4/bmuvi.jpg?width=650)
BONGO MUVI KWAWAKA MOTO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hdD5k88wRisJV1K8qu0letWRxlssZIakgnya5ta*9ta49eQzb78PamXAfqkWj1nUzj8K1f53YVd9iEN0GC3*xNC/StevenKanumba.jpg?width=650)
WAMEONDOKA NA BONGO MUVI YAO!
5 years ago
Bongo Movies02 Mar
Duma Kuirudisha Bongo Muvi
Msanii wa filamu bongo, Daudi Michael maarufu kama ‘Duma’ amesema lengo la yeye kumuita nchini msanii kutoka nchi ya Australia John K ni kutaka kuirudisha hadhi ya filamu ambayo imepotea kwa kipindi kirefu katika macho ya watu.
Duma amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha eNewz kutoka EATV muda mchache baada ya kumpokea mgeni wake huyo kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam.
“Watanzania wanapaswa watupe ushirikiano sana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilrU4mJL4pvZkOmRRgjU24zKqg7VHJpf9CiI7Q4kketybN37pVmlFPukaHVAwXhppp1dWOPTyNrXHYh0c-Myc*RM/CATHY.jpg)
CATHY: BONGO MUVI INAKUFA