Picha za ufunguzi wa Sauti za Busara 2015 ulivyofana Ngome Kongwe leo
Na Andrew Chale wa modewjiblog, Zanzibar
Ufunguzi wa Tamasha la Kimataifa la Muziki la Sauti za Busara 2015, umetia fora baada ya kukusanya umati wa watu wengi waliojumuika pamoja kwenye mitaa mbalimbali ya Unguja na kuungana na paredi.
Tamasha la Sauti za Busara kila mwaka katika ufunguzi wake huambatana na paredi huku umati wa watu wakijumuika pamoja na kusherehekea kwa amani na kuandamana mpaka Ngome Kongwe. paredi ya leo ilianzia Magereza Miembeni hadi Ngome Kongwe. Zifuatazo ni baadhi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog14 Jun
Shamra shamra za ufunguzi wa ZIFF 2014 ndani Ngome Kongwe Unguja
Jukwaa litakalotumika kwa masuala ya burudani kuanzia leo Juni 14 hadi 22 ndani ya Ngome Kongwe katika ukumbi wa Mambo Club linavyoonekana muda huu kwenye hatua ya mwisho kuelekea ufunguzi rasmi saa moja jioni.(Picha na Zainul Mzige modewjiblog)
Opening Night: Mandela: Long Walk to Freedom
June 14th 20:20 Old Fort Ampitheatre
Opening Night Concert:
June 14th Mambo Club
Tamaduni Music (Tanzania) followed by BODY, MIND & SOUL (Malawi)
Mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima, Andrew Chale...
11 years ago
GPLSHAMRA SHAMRA ZA UFUNGUZI WA ZIFF 2014 NDANI NGOME KONGWE UNGUJA
11 years ago
Michuzi14 Jun
SHAMRA SHAMRA ZA UFUNGUZI WA ZIFF 2014 NDANI NGOME KONGWE UNGUJA JIONI HII
10 years ago
Dewji Blog15 Feb
Sauti za Busara 2015 kufikia tamati leo
Wasanii kutunukiwa tuzo za amani
Na Andrew Chale, modewji blog, Zanzibar
Tamasha kubwa la Kimataifa la muziki linalofanyika kila mwaka visiwani hapa la Sauti za Busara, linatarajiwa kufikia tamati usiku wa leo Februari 15 huku zikitarajiwa kutolewa tuzo za amani kwa washindi.
Tamasha hilo kwa mwaka huu ni la 12, limezidi kuwa la mafanikio kwa kuweza kukusanya umati mkubwa wa mashabiki waliotoka sehemu mbalimbali duniani.
Tamasha hillo lilianza Ahamisi ya Februari 12, kwa shamra shamra...
5 years ago
CCM BlogMAANDAMANO YA UFUNGUZI WA SAUTI ZA BUSARA (CARNIVAL PARADE ) YATIA FORA ZANZIBAR
(Picha zote kwa hisani ya Link Reuben, Sauti za Busara).
NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR.
MAANDAMANO ya ufunguzi wa tamasha la 17 la Sauti za Busara (Carnival Parade) mchana wa Februari 13 limetia fora kwa vikundi zaidi ya 16 kuonyesha sanaa yao mitaani.
Paredi hilo la aina yake likiwa pamoja na wananchi mbalimbali lilitumia umbali wa kilometa 1.6 kutokea Mapinduzi Square hadi viunga vya Ngome Kongwe, katika bustani ya Forodhani.
Aina ya sanaa...
10 years ago
MichuziTAMASHA LA NCHI ZA JAHAZI 2015 KUFANYIKA NGOME KONGWE ZANZIBAR KUANZIA JULAI 18 HADI 26
11 years ago
Michuzi17 Jun
"WOMEN WITH ATTITUDE" SINEMA YENYE LADHA YA SHUGHULI KUONYESHWA NGOME KONGWE LEO
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Filamu ya “I Shot Bi Kidude” kuonyeshwa tamasha la Ziff 2015 Jumapili hii ndani ya Ngome Kongwe, Zanzibar
‘Makala ya Kusisimua yenye matukio yenye hisia nzito.’
Andy Markowitz, Tovuti ya Muziki wa Filamu Music Film Web
‘Tafakari ya kusisimua ya urafiki usio wa kawaida kati ya Kijana Mtengenezaji wa filamu na diva wa Zanzibar mzee wa miaka 100 Zanzibar diva’ Garth Cartwright – mwandishi, “More Miles Than Money”Umbali mkubwa kuliko fedha”
‘Uwasilishaji wa wa nyota …iliyofifia na kuifanya ing’are upya’.
Martin Mhando, Mkurugenzi ZIFF
Nilimpiga Picha Bi Kidude “I Shot Bi Kidude”, ni makala mpya...
11 years ago
Michuzi16 Apr
Call for Artists - Sauti za Busara 2015
Is your music 100% live?
Is it connected to Africa?
Have you always wanted to perform in Zanzibar? Applications are now open for the 12th edition of Sauti za Busara. This is your chance to apply for a spot to perform at the 2015 festival. Our focus has always been on bringing you African music under African skies - this year in addition to the African Continent and its diaspora Sauti za Busara also welcomes applications from the Gulf...