Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


"WOMEN WITH ATTITUDE" SINEMA YENYE LADHA YA SHUGHULI KUONYESHWA NGOME KONGWE LEO

DSC_0166 Mtanzania mmoja kati ya wawili walioshirikishwa katika filamu ya "Woman with Altitude" iliyoandaliwa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Ashura Kayupayupa (kulia), akizungumza na waandishi wa habari leo mchana kwenye hoteli ya Doubletree by Hilton Zanzibar. Kushoto ni Mratibu wa Majaji wa tuzo za ZIFF 2014, Fabrizio Colombo na Katikati ni Afisa Habari wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Fizza Moloo.(Picha na Zainul Mzige wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WOMEN WITH ATTITUDE:SINEMA YENYE LADHA YA SHUGHULI INAYOCHOCHEA HAMASA NA MALENGO

DSC_0166 Mtanzania mmoja kati ya wawili walioshirikishwa katika filamu ya “Woman with Altitude” iliyoandaliwa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Ashura Kayupayupa (kulia), akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye hoteli ya Doubletree by Hilton Zanzibar. Kushoto ni Mratibu wa Majaji wa tuzo za ZIFF 2014,  Fabrizio Colombo na Katikati ni Afisa Habari wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Fizza Moloo. Kwa habari kamili na picha BOFYA...

 

11 years ago

GPL

WOMEN WITH ATTITUDE: SINEMA YENYE LADHA YA SHUGHULI INAYOCHOCHEA HAMASA NA MALENGO‏

Mtanzania mmoja kati ya wawili walioshirikishwa katika filamu ya “Woman with Altitude” iliyoandaliwa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Ashura Kayupayupa (kulia), akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye hoteli ya Doubletree by Hilton Zanzibar. Kushoto ni Mratibu wa Majaji wa tuzo za ZIFF 2014, Fabrizio Colombo na Katikati ni Afisa Habari wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Mpango wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Filamu ya “I Shot Bi Kidude” kuonyeshwa tamasha la Ziff 2015 Jumapili hii ndani ya Ngome Kongwe, Zanzibar

bi-kidude

I_HEART_BK_2_1

‘Makala ya Kusisimua yenye matukio yenye hisia nzito.’

Andy Markowitz, Tovuti ya Muziki wa Filamu Music Film Web

‘Tafakari ya kusisimua ya urafiki usio wa kawaida kati ya Kijana Mtengenezaji wa filamu na diva wa Zanzibar mzee wa miaka 100 Zanzibar diva’ Garth Cartwright – mwandishi, “More Miles Than Money”Umbali mkubwa kuliko fedha”

‘Uwasilishaji wa wa nyota …iliyofifia na kuifanya ing’are upya’.

Martin Mhando, Mkurugenzi ZIFF

Nilimpiga Picha Bi Kidude “I Shot Bi Kidude”, ni makala mpya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Picha za ufunguzi wa Sauti za Busara 2015 ulivyofana Ngome Kongwe leo

Na Andrew Chale wa modewjiblog, Zanzibar

Ufunguzi wa Tamasha la Kimataifa la Muziki la Sauti za Busara 2015, umetia fora baada ya kukusanya umati wa watu wengi waliojumuika pamoja kwenye mitaa mbalimbali ya Unguja na kuungana na paredi.

Tamasha la Sauti za Busara kila mwaka katika ufunguzi wake huambatana na paredi huku umati wa watu wakijumuika pamoja na kusherehekea kwa amani na kuandamana mpaka Ngome Kongwe. paredi ya leo ilianzia Magereza Miembeni hadi Ngome Kongwe. Zifuatazo ni baadhi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Watoto mfanano kukarimiwa Ngome Kongwe Jumamosi hii

DSC_0147

Mwenyekiti na mwasisi wa kikundi cha kujitolea kinachowalea watoto wenye mfanano wa kikundi cha Trabajo Voluntario, Marisa Yussuf Himid akionyesha bango wakati maandalizi ya shughuli hiyo.

Na Mwandishi wetu, Zanzibar

ZAIDI ya watoto mfanano 50 na familia zao wanatarajiwa kujumuika na watu wengine katika viwanja vya Ngome Kongwe kwa mashamushamu ya kuonesha upendo na kushuhudia mateso yanayowapata watoto hao.

Taasisi isiyo ya kiserikali ya kujitolea ya mjini Zanzibar ya  Trabajo Voluntario,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Pajero ya Makame Faki ilivyotikisa Ngome Kongwe tamasha la ZIFF

Na  Mwandishi wetu, Zanzibar

WAPENZI wa muziki wa mahadhi ya mwambao wakati wa tamasha la 17 la ZIFF 2014 lililomalizika hivi karibuni walijikuta wanapitiliza usiku wa manane kutokana na kukolea kwa muziki wa kidumbaki uliokuwa ukiporomoshwa na kundi la Sina Chuki, chini ya sauti ya zege Makame Faki.

Wakiwa wanaondoka na nyonga zao kwa taratibu na kwa namna ambavyo inafuatilika, Makame alikoleza na sauti yake na Pajero linanisumbua huku wapenzi wakipiga kelele ya kushangilia.

Muziki huu...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA NCHI ZA JAHAZI 2015 KUFANYIKA NGOME KONGWE ZANZIBAR KUANZIA JULAI 18 HADI 26

 Mjumbe wa bodi wa Tamasha la Jahazi, Fatma Allo (kulia), akizungumza katika mkutano na wadau wa filamu na wanahabari Dar es Salaam leo jioni kuhusu tamasha la nchi za jahazi litakalofanyika kuanzia Julai 18 hadi 26 mwaka huu Ngome Kongwe mjini Zanzibar.Kutoka kushoto ni Meneja wa Tamasha, Daniel Nyalusy na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tamasha la Jahazi, Martin Mhando. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tamasha la Jahazi, Martin Mhando (kushoto), akizungumza kuhusu tamasha hilo kubwa la jahazi. Kulia...

 

10 years ago

Michuzi

ZIFF KUONESHA filamu ya "I SHOT BI KIDUDE" usiku wa Jumapili Julai 26 Saa 1:15 NGOME KONGWE, Zanzibar

‘Makala ya Kusisimua yenye matukio yenye hisia nzito.’ 

Andy Markowitz, Tovuti ya Muziki wa Filamu Music Film Web

‘Tafakari ya kusisimua ya urafiki usio wa kawaida kati ya Kijana Mtengenezaji wa filamu na diva wa Zanzibar mzee wa miaka 100 Zanzibar diva’ Garth Cartwright - mwandishi, “More Miles Than Money”Umbali mkubwa kuliko fedha”

‘Uwasilishaji wa wa nyota …iliyofifia na kuifanya ing’are upya’ 

Martin Mhando, Mkurugenzi ZIFF

Nilimpiga Picha Bi Kidude “I Shot Bi Kidude”, ni makala mpya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani