MAANDAMANO YA UFUNGUZI WA SAUTI ZA BUSARA (CARNIVAL PARADE ) YATIA FORA ZANZIBAR

Pichani matukio mbalimbali ya matembezi hayo.
(Picha zote kwa hisani ya Link Reuben, Sauti za Busara).NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR.
MAANDAMANO ya ufunguzi wa tamasha la 17 la Sauti za Busara (Carnival Parade) mchana wa Februari 13 limetia fora kwa vikundi zaidi ya 16 kuonyesha sanaa yao mitaani.
Paredi hilo la aina yake likiwa pamoja na wananchi mbalimbali lilitumia umbali wa kilometa 1.6 kutokea Mapinduzi Square hadi viunga vya Ngome Kongwe, katika bustani ya Forodhani.
Aina ya sanaa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMAANDAMANO YA UZINDUZI WA SAUTI ZA BUSARA ZANZIBAR 2014 WAFANA LEO
10 years ago
Dewji Blog12 Feb
Picha za ufunguzi wa Sauti za Busara 2015 ulivyofana Ngome Kongwe leo
Na Andrew Chale wa modewjiblog, Zanzibar
Ufunguzi wa Tamasha la Kimataifa la Muziki la Sauti za Busara 2015, umetia fora baada ya kukusanya umati wa watu wengi waliojumuika pamoja kwenye mitaa mbalimbali ya Unguja na kuungana na paredi.
Tamasha la Sauti za Busara kila mwaka katika ufunguzi wake huambatana na paredi huku umati wa watu wakijumuika pamoja na kusherehekea kwa amani na kuandamana mpaka Ngome Kongwe. paredi ya leo ilianzia Magereza Miembeni hadi Ngome Kongwe. Zifuatazo ni baadhi...
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Sauti za Busara Zanzibar
11 years ago
Michuzi22 Apr
10 years ago
GPLTAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA KUFANYIKA FEBRUARI 12-15 ZANZIBAR
5 years ago
Michuzi17 Feb
BENKI YA CRDB YANOGESHA TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA- ZANZIBAR
10 years ago
Michuzi
Tamasha la muziki la sauti za busara Zanzibar 2016 halitokuwepo

Yusuf Mahmoud, Mkurugenzi Mtendaji wa Busara Promotions, amesema leo "Uamuzi huu haukuchukuliwa kwa wepesi”. Kawaida huwa tunatangaza tarehe za tamasha mwaka mmoja kabla. Lakini baada ya kufanya...
10 years ago
CloudsFM30 Jan
ALI KIBA KUTUMBUIZA KWENYE TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA,ZANZIBAR