Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sauti za Busara 2015 kufikia tamati leo

#TogetherAsOne #AmaniNdioMpangoMzima

Wasanii kutunukiwa tuzo za amani

Na Andrew Chale, modewji blog, Zanzibar

Tamasha kubwa la Kimataifa la muziki linalofanyika kila mwaka visiwani hapa la Sauti za Busara,  linatarajiwa kufikia tamati usiku wa leo Februari 15 huku zikitarajiwa kutolewa tuzo za amani kwa washindi.

Tamasha hilo kwa mwaka huu ni la 12,  limezidi kuwa la mafanikio kwa kuweza kukusanya umati mkubwa wa mashabiki waliotoka sehemu mbalimbali duniani.

Tamasha hillo lilianza Ahamisi ya Februari 12, kwa shamra shamra...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Picha za ufunguzi wa Sauti za Busara 2015 ulivyofana Ngome Kongwe leo

Na Andrew Chale wa modewjiblog, Zanzibar

Ufunguzi wa Tamasha la Kimataifa la Muziki la Sauti za Busara 2015, umetia fora baada ya kukusanya umati wa watu wengi waliojumuika pamoja kwenye mitaa mbalimbali ya Unguja na kuungana na paredi.

Tamasha la Sauti za Busara kila mwaka katika ufunguzi wake huambatana na paredi huku umati wa watu wakijumuika pamoja na kusherehekea kwa amani na kuandamana mpaka Ngome Kongwe. paredi ya leo ilianzia Magereza Miembeni hadi Ngome Kongwe. Zifuatazo ni baadhi...

 

10 years ago

Bongo5

Mashindano ya Pool Table Afrika kufikia tamati leo Dar

Mashindano ya mchezo wa Pool Table kwa timu za Afrika leo yanafikia tamati katika fainali itakayofanyika katika ukumbi wa Budget Hall Kunduchi jijini Dar-es-Salaam. Mashindano hayo ambayo Tanzania imekuwa mwenyeji yameshirikisha nchi za Kenya Uganda, Afrika Kusini, Lesotho, Malawi, Zambia na Cameroon.

 

10 years ago

Dewji Blog

Maonyesho ya Tanzania Buildex International Trade Exhibition kufikia tamati leo

DSCN9663

CEO wa TRADEX Corporation, Frank A.P.M Bruurs, akionesha wateja (hawapo pichani) namna ya bidhaa zao zinazopatikana Netherlands na Ujerumani- s-Hertogenbosch wakati wa maonesho ya Tanzania Buildex International Trade Exhibition, Mlimani City.

Na Andrew Chale

Maonyesho ya Tanzania Buildex Internatinal Trade Exhibition January 29 -31, yanayoendelea ndani ya ukumbi wa mikutano wa Mlimani City Conference, yanatarajia kufikia tamati jioni ya leo.

Maonyesho hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya ...

 

9 years ago

Dewji Blog

PAMCA: Waendelea na mkutano wao jijini Dar es Salaam kufikia tamati leo

Mkutano wa Mkuu wa Pili wa Chama cha Kudhibiti Mbu cha Pan African (PAMCA) leo umeingia katika siku yake ya pili jijini Dar es Salaam ambapo watafiti wamewasilisha taarifa zao mbalimbali za utafiti walizofanya katika maeneo yao kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwa ni pamoja na ushauri wa kitaalam wa kupata suluhisho la kumdhibiti na hatimaye kumtokomweza kabisa Mdudu mbu barani Afrika. Pichani ni Mwanasayansi Mtafiti Kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dk...

 

11 years ago

Michuzi

Call for Artists - Sauti za Busara 2015

fROOTS Call for Artists 2015 – Deadline 31 July 2014 
Is your music 100% live? 
Is it connected to Africa? 
Have you always wanted to perform in Zanzibar? Applications are now open for the 12th edition of Sauti za Busara. This is your chance to apply for a spot to perform at the 2015 festival. Our focus has always been on bringing you African music under African skies - this year in addition to the African Continent and its diaspora Sauti za Busara also welcomes applications from the Gulf...

 

11 years ago

Michuzi

WITO KWA WASANII: Sauti za Busara 2015

Je muziki wako ni wa laivu? Je muziki wako umehusiana na Africa, Uarabuni au nchi za bahari hindi? Je umevutiwa kupiga muziki mwezi ujao wa Februari Zanzibar? Kama unaweza kujibu ndio, ndio, ndio - basi endelea kusoma... MWISHO...

 

10 years ago

Dewji Blog

2015 Sauti za Busara Festival promotes PEACE

31-702x324

Sauti za Busara, aka the friendliest festival on the planet, will share messages for peace and unity during its 12th edition in Zanzibar during February 12 – 15. As always, the festival builds appreciation for the wealth and diversity of music from East Africa and beyond.

The final line-up of confirmed artists includes  Blitz the Ambassador (Ghana / USA),   Alikiba (Tanzania),   Octopizzo and band (Kenya),   Ihhashi Elimhlophe (South Africa),   Tcheka (Cape Verde),   Sarabi (Kenya),  The...

 

10 years ago

Dewji Blog

Coastal Aviation mpango mzima na Sauti za Busara 2015

1510425_609921185819281_4491179347497124483_n

 

Na Andrew Chale

“ALL THE ALL FOR THE SOUNDS OF WISDOM!”

Coastal Aviation We have arranged MORE THAN 20 FLIGHTS A DAY throughout the weekend to support the festival and allow everybody to enjoy this intense celebration of African music!

How does it sound? Full mzuka na Sauti za Busara 2015!!.

More details on http://www.coastal.co.tz/media/press/

 http://www.coastal.co.tz/media/videos/

http://www.coastal.co.tz/flights/scheduled-flights/

Mwandishi wa Modewji blog akiwa tayari akiendelea kukuletea yanayoajili huko Zanzibr ambapo alisafiri na Coastal Aviation

Mwandishi wa modewji blog, Andrew Chale akiwa tayari...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ali Kiba adhihirisha ubora wake ndani ya tamasha la Sauti za Busara 2015

Ali Kiba jukwani sauti za busara 2015

Ali Kiba jukwaani Sauti za Busara 2015.

Na Andrew Chale wa modewjiblog, Zanzibar

Msanii nyota  Nchini, Ali Kiba  usiku wa Februari 12, ameweza kukonga nyoyo za mashabiki waliofurika kwenye tamasha kubwa la muziki la Kimataifa linaloaendelea kwenye viunga vya Ngome Kongwe, Unguja Zanzibar.

Katika shoo hiyo Ali Kiba alipanda jukwaani majira ya saa sita usiku  na kuendelea kwa zaidi ya masaa mawili, alikonga nyoyo umati wa mashabiki waliofurika ndani ya ukumbi huo huku akishangiliwa wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani