PAMCA: Waendelea na mkutano wao jijini Dar es Salaam kufikia tamati leo
Mkutano wa Mkuu wa Pili wa Chama cha Kudhibiti Mbu cha Pan African (PAMCA) leo umeingia katika siku yake ya pili jijini Dar es Salaam ambapo watafiti wamewasilisha taarifa zao mbalimbali za utafiti walizofanya katika maeneo yao kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwa ni pamoja na ushauri wa kitaalam wa kupata suluhisho la kumdhibiti na hatimaye kumtokomweza kabisa Mdudu mbu barani Afrika. Pichani ni Mwanasayansi Mtafiti Kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dk...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboPAMCA WAENDELEA NA MKUTANO WAO JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Bongo518 Oct
Mashindano ya Pool Table Afrika kufikia tamati leo Dar
10 years ago
MichuziMkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika waendelea jijini Dar es Salaam
10 years ago
VijimamboWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WAFANYA MKUTANO MKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM KUJAILI MCHANGO WA DIPLOMASIA KATIKA KUFIKIA DIRA YA TAIFA 2025
10 years ago
Dewji Blog15 Feb
Sauti za Busara 2015 kufikia tamati leo
Wasanii kutunukiwa tuzo za amani
Na Andrew Chale, modewji blog, Zanzibar
Tamasha kubwa la Kimataifa la muziki linalofanyika kila mwaka visiwani hapa la Sauti za Busara, linatarajiwa kufikia tamati usiku wa leo Februari 15 huku zikitarajiwa kutolewa tuzo za amani kwa washindi.
Tamasha hilo kwa mwaka huu ni la 12, limezidi kuwa la mafanikio kwa kuweza kukusanya umati mkubwa wa mashabiki waliotoka sehemu mbalimbali duniani.
Tamasha hillo lilianza Ahamisi ya Februari 12, kwa shamra shamra...
10 years ago
Michuzi
Mkutano Mkuu wa mwaka wa ECOBANK wafanyika leo jijini Dar es salaam




10 years ago
MichuziJK afungua Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM jijini Dar es salaam leo
10 years ago
Dewji Blog31 Jan
Maonyesho ya Tanzania Buildex International Trade Exhibition kufikia tamati leo
CEO wa TRADEX Corporation, Frank A.P.M Bruurs, akionesha wateja (hawapo pichani) namna ya bidhaa zao zinazopatikana Netherlands na Ujerumani- s-Hertogenbosch wakati wa maonesho ya Tanzania Buildex International Trade Exhibition, Mlimani City.
Na Andrew Chale
Maonyesho ya Tanzania Buildex Internatinal Trade Exhibition January 29 -31, yanayoendelea ndani ya ukumbi wa mikutano wa Mlimani City Conference, yanatarajia kufikia tamati jioni ya leo.
Maonyesho hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya ...
10 years ago
GPLMKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA WA TPCC WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO