Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PAMCA WAENDELEA NA MKUTANO WAO JIJINI DAR ES SALAAM

Mkutano wa Mkuu wa Pili wa Chama cha Kudhibiti Mbu cha Pan African (PAMCA) leo umeingia katika siku yake ya pili jijini Dar es Salaam ambapo watafiti wamewasilisha taarifa zao mbalimbali za utafiti walizofanya katika maeneo yao kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwa ni pamoja na ushauri wa kitaalam wa kupata suluhisho la kumdhibiti na hatimaye kumtokomweza kabisa Mdudu mbu barani Afrika. Pichani ni Mwanasayansi Mtafiti Kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dk...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

PAMCA: Waendelea na mkutano wao jijini Dar es Salaam kufikia tamati leo

Mkutano wa Mkuu wa Pili wa Chama cha Kudhibiti Mbu cha Pan African (PAMCA) leo umeingia katika siku yake ya pili jijini Dar es Salaam ambapo watafiti wamewasilisha taarifa zao mbalimbali za utafiti walizofanya katika maeneo yao kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwa ni pamoja na ushauri wa kitaalam wa kupata suluhisho la kumdhibiti na hatimaye kumtokomweza kabisa Mdudu mbu barani Afrika. Pichani ni Mwanasayansi Mtafiti Kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dk...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika waendelea jijini Dar es Salaam

 Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Sera ,Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathias Kabunduguru, Prof. Samuel Wangwe, Katibu Mtendaji -Tume ya Mipango Dkt. Phillip Mpango na wajumbe wengine wakifuatilia mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola barani Afrika. Katibu Mkuu Kiongozi wa Uganda Bw. John Mitala akiwasilisha mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaoendelea jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wateja wa viwanja Lindi waendelea kusaini hati jijini Dar e Salaam

iiiAfisa Ardhi wa Lindi anayeshughulikia hati hizo jijini Dar es Salaam Mpoki Daimon (katikati), akimpa maelezo mmoja wa wateja waliofika kwenye ofisi za UTT-PID, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya zoezi hilo la saini. Kushoto kwake ni Afisa wa UTT-PID ambao ndio wawezeshaji wakuu wa mradi huo, Martin Mchanjila.

Na Mwandishi Wetu

Wateja wa mradi wa Viwanja vilivyopo Manispaa ya Lindi wameendelea kusaini hati zao jijini Dar es Salaam kwa  uratibu wa Manispaa ya Lindi  kwa ushirikiano na Taasisi...

 

10 years ago

Michuzi

ACT WALIPOFANYA MKUTANO WAO MKUU JIJINI DAR

Mwenyekiti wa Chama cha  Alliance for change and Transparecy (ACT)  Anaa Elisha (kulia) akiwapungia mikono wanachama alipokua akiingia katika Ukumbi wa Diamondi Jubilee Dar es Salaam jana. (kushoto) ni  Kiongizi MKuu wa chama  hicho,Zitto Kabwe.
 Mwenyekiti wa Chama cha  Alliance for change and Transparecy (ACT)  Anaa Elisha Akiwashukuru wanachama wote walioshiriki walio kiunga Mkono chama hicho nawaliotoka vyama vingine wakiwemo viongozi na Taasisi Mbalimbali.Baadhi ya wajumbe na Viongozi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Yaleyaleeee......uchimbaji mchanga mto mbezi jijini Dar es salaam waendelea kama kawa

 Pamoja na kupigwa marufuku mara kadhaa wachimabji hawa bado wameendelea kuchimba mchanga katika Mto Mbezi huku wakijaza magari makubwa yasiyo na idadi na tena wakifanya kazi hii mchana kweupeeee pyeeee  bila hata kuwa na woga.  Wachimbaji hawa wamekuwa wakifanya hivi kila inaponyesha mvua kubwa inayokusanya mchanga mwingi kutoka eneo jingine kusogeza eneo hili, na wao wamekuwa wakiuhamisha mchanga huo kwa kuuchimba na kuupakia katika magari na kisha kwenda kuuza. Zoezi hili linachangia...

 

10 years ago

Michuzi

JK aagana na Mabalozi waliomaliza muda wao wa India,Ubelgiji na Sweden Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo ameagana na mabalozi watatu wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania baada ya kumaliza muda wao wa kazi . Mabalozi walioagana na Rais leo ikulu jijini Dar es Salaam ni pamoja na Mhe.Debnath Shaw wa India,Balozi Koenraad Adam wa Ubelgiji na balozi Lennarth Hjelmaker wa Sweden. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi wa India anayemaliza muda wake Mhe.Debnath Shaw wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais Dkt.Jakaya...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA 27 Ecobank Group jijini Dar es Salaam

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 27 wa Ecobank wakiwa kwenye mkutano huo, katika  Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre uliofanyika jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015. Meza kuuWakurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya ECOBANK wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka wa benki hiyo, uliofanyika ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Emmanuel Ikazoboh (kulia), akiendesha Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Ecobank Group,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani