Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Q Chillah, MB Dog wajiandaa na kolabo

qchillah
Mkongwe katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’.

Said Ally, Dar es Salaam
WAKONGWE katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’ na Mbwana Mohamed ‘MB Dog’ kwa sasa waumeungana kuhakikisha wanarudi kukonga nyoyo za mashabiki wao ambao wamewamisi kwa muda mrefu.

Q Chillah na MB Dog kwa vipindi tofauti waliwahi kubamba kwenye tasnia hiyo kabla ya kupotea na sasa wanarejea tena.

wwe33333MB Dog.

Akizungumza na Mikito Jumatano, Q Chillah alisema kuwa...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sarumagaoni wajiandaa kuandamana

Mgogoro wa wakazi wa Sarumagaoni Halmashauri ya Jiji la Tanga, wanaodai kutokana na kuhamishwa katika eneo hilo umeingia katika sura mpya baada wakazi hao kutishia kuandamana hadi ofisi za mkuu wa mkoa.

 

9 years ago

Mtanzania

CCM Mufindi wajiandaa kufukuzana

DSC_0926NA GUSTAPHU HAULE, IRINGA

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa, kinaendelea kufanya uchunguzi dhidi ya wanachama waliofanya usaliti wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.

Baada ya uchunguzi huo kukamilika, wasaliti wote watatimuliwa ili kubaki na wanachama wenye nia njema na chama hicho.

Taarifa hiyo ilitolewa jana na Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Jimson Mhagama, alipokuwa akizungumza na MTANZANIA ofisini kwake kuhusu mwenendo wa chama wilayani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Q-Chillah kuipua ‘Always Be Around’

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abubakar Shaaban ‘Q-Chillah’ anatarajiwa kuachia kazi yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina la ‘Always Be Around’ ambayo ameshirikiana na wakali kibao wanaotamba...

 

9 years ago

BBCSwahili

Maafisa wajiandaa kuhesabu kura Mwanza

Maafisa wa uchaguzi wanajiandaa kuanza kuhesabu kura mjini Mwanza. Masanduku yenye kura zilizopigwa yamekuwa yakiwasili katika kituo kikuu cha kuhesabia kura.

 

10 years ago

Tanzania Daima

KGA wajiandaa kwa maandamano, mgomo

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama cha waongoza watalii mkoa wa Kilimanjaro (KGA), wameazimia kufanya mgomo na maandamano ili kuishinikiza serikali kusimamia sheria ya kuwataka mawakala wa utalii wawalipe waongoza...

 

10 years ago

GPL

JB: JIONEE ALINICHONIFANYA Q-CHILLAH!

Stori: Mwandishi Wetu
Sura ya mauzo kwenye Bongo Movies, Jacob Steven ‘JB’ ameweka plain kwamba alichomfanyia staa wa Bongo Fleva, Aboubakar Shaban Katwila ‘Q-Chillah’ kwa mara ya kwanza kwenye filamu yake ya Hukumu ya Ndoa Yangu (part III), kimemshtua.
Akistorisha na safu hii, JB alifunguka kwamba staa huyo ambaye amerudi upya aliitendea haki sinema hiyo kwani alionesha kipaji cha aina...

 

10 years ago

Mwananchi

Wajiandaa kulinganisha mitalaa ya vyuo Afrika Mashariki

Ushirikiano wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaendelea kukua siku hadi siku, licha ya changamoto na matatizo.

 

10 years ago

Habarileo

Ubalozi wajiandaa kuondoa Watanzania Afrika Kusini

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.UBALOZI wa Tanzania nchini Afrika Kusini umesema umeanza utambuzi wa Watanzania waishio katika maeneo ya hatari nchini humo kabla ya kuanza hatua za kuwaondoa na kuwarejesha nyumbani.

 

10 years ago

GPL

Q-CHILLAH ALAMBA MKATABA MNONO

Mbongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akipokea mkataba kutoka 'QS Mhonda J Company'. 'Legend' kwenye gemu la Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akipozi. Na mwandishi wetu
LEGEND kwenye gemu la Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ amelamba mkataba wa nguvu…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani