KGA wajiandaa kwa maandamano, mgomo
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama cha waongoza watalii mkoa wa Kilimanjaro (KGA), wameazimia kufanya mgomo na maandamano ili kuishinikiza serikali kusimamia sheria ya kuwataka mawakala wa utalii wawalipe waongoza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
KGA wasogeza mbele mgomo wao
MGOMO ulioitishwa na chama cha waongoza watalii mkoa wa Kilimajaro (KGA) wa kutaka kusitisha shughuli za kuhudumia watalii katika mlima huo umesogezwa mbele baada ya Serikali kupitia Hifadhi ya Taifa...
9 years ago
StarTV09 Nov
Bavicha yashinikiza kuandaa Mgomo, maandamano
Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo Chadema BAVICHA limetoa saa 72 kwa Bodi ya mikopo nchini kutoa mikopo kwa asilimia 82 ya wanafunzi wa Elimu ya juu waliokosa na kwamba kukiuka agizo hilo watashinikiza mgomo na maandamano nchi nzima.
Bavicha inasema tayari imekwisha andaa mfumo maalumu wa kuendesha zoezi hilo linaolenga kushawishi vijana kupata haki yao ya msingi.
Kauli ya Bavicha imefatia siku chache baada Novemba 6, mwaka huu Jeshi la Polisi nchini kupiga marufuku...
11 years ago
MichuziProfesa mbele na timu yake wajiandaa kwa Tamasha la Afrifest Agosti 2, 2014
Hapa naonekana nikiwa na mama mmoja aliyekuja kwenye meza yangu. Nilimweleza yale aliyoulizia. Hata hivi, kwa kumwangalia usoni, hakuonekana anavutiwa na yale niliyokuwa...
10 years ago
MichuziKAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Sarumagaoni wajiandaa kuandamana
9 years ago
Mtanzania21 Dec
CCM Mufindi wajiandaa kufukuzana
NA GUSTAPHU HAULE, IRINGA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa, kinaendelea kufanya uchunguzi dhidi ya wanachama waliofanya usaliti wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.
Baada ya uchunguzi huo kukamilika, wasaliti wote watatimuliwa ili kubaki na wanachama wenye nia njema na chama hicho.
Taarifa hiyo ilitolewa jana na Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Jimson Mhagama, alipokuwa akizungumza na MTANZANIA ofisini kwake kuhusu mwenendo wa chama wilayani...
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Q Chillah, MB Dog wajiandaa na kolabo
Mkongwe katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’.
Said Ally, Dar es Salaam
WAKONGWE katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’ na Mbwana Mohamed ‘MB Dog’ kwa sasa waumeungana kuhakikisha wanarudi kukonga nyoyo za mashabiki wao ambao wamewamisi kwa muda mrefu.
Q Chillah na MB Dog kwa vipindi tofauti waliwahi kubamba kwenye tasnia hiyo kabla ya kupotea na sasa wanarejea tena.
MB Dog.
Akizungumza na Mikito Jumatano, Q Chillah alisema kuwa...
9 years ago
BBCSwahili26 Oct
Maafisa wajiandaa kuhesabu kura Mwanza
10 years ago
Habarileo20 Apr
Ubalozi wajiandaa kuondoa Watanzania Afrika Kusini
UBALOZI wa Tanzania nchini Afrika Kusini umesema umeanza utambuzi wa Watanzania waishio katika maeneo ya hatari nchini humo kabla ya kuanza hatua za kuwaondoa na kuwarejesha nyumbani.