Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maafisa wajiandaa kuhesabu kura Mwanza

Maafisa wa uchaguzi wanajiandaa kuanza kuhesabu kura mjini Mwanza. Masanduku yenye kura zilizopigwa yamekuwa yakiwasili katika kituo kikuu cha kuhesabia kura.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

KwanzaJamii

Bunge kutuma ofisa Saudia kuhesabu kura

Na Daniel Mjema na Sharon Sauwa, Mwananchi Dodoma. Ofisi ya Bunge la Katiba itamtuma ofisa wake kwenda Makka, Saudi Arabia kusimamia upigaji kura kupitisha Katiba inayopendekezwa kwa wajumbe wa Bunge hilo wanaokwenda Hijja. Hayo yalielezwa jana na Katibu wa Bunge hilo, Yahya Khamis Hamad alipotakiwa kueleza idadi kamili ya wajumbe wa Bunge hilo wanaotarajiwa kuwa nje ya nchi na jinsi watakavyopiga kura. Juzi, Bunge hilo lilizifanyia marekebisho kanuni zake ili kuwaruhusu wajumbe...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli atimiza ahadi yake Maafisa Tarafa Mwanza wakabidhiwa Usafiri


Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akikabidhi ufunguo wa pikipiki kwa Mwenyekiti wa Maafisa Tarafa Mkoa Mwanza, Peter Michael (kushoto) kama ishara ya kukabidhi pikipiki 24 kwa Maafisa Tarafa wa Tarafa zote 24 za Mkoa Mwanza.

Mongella amekabidhi pikipiki hizo kwa niaba ya Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake (ahadi ya Rais Dkt. Magufuli) ya kutoa pikipiki kwa Maafisa Tarafa wote Tanzania aliyoitoa alipokutana na viongozi hao Juni 04, 2019 Ikulu...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATIMIZA AHADI YAKE KWA MAAFISA TARAFA MKOA WA MWANZA

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akikabidhi ufunguo wa pikipiki kwa Mwenyekiti wa Maafisa Tarafa Mkoa Mwanza, Peter Michael (kushoto) kama ishara ya kukabidhi pikipiki 24 kwa Maafisa Tarafa wa Tarafa zote 24 za Mkoa Mwanza.
Mongella amekabidhi pikipiki hizo kwa niaba ya Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake (ahadi ya Rais Dkt. Magufuli) ya kutoa pikipiki kwa Maafisa Tarafa wote Tanzania aliyoitoa alipokutana na viongozi hao Juni 04, 2019 Ikulu...

 

10 years ago

Michuzi

Warsha ya Maafisa Vijana,waratibu wa ukimwi na wadau mbalimbali yafikia siku ya tatu jijini Mwanza

Mwakilishi wa Vijana kutoka kamati ya kudhibiti Ukimwi manispaa ya Shinyanga Bw,Rigobert Rwehumbiza akielezea wajibu binafsi kwa kijana kwa washiriki wenzie katika warsha ya siku nne ya stadi za maisha na afya ya uzazi.Katibu asasi ya Vijana ya Boys & Girls Bw,Johnson Jacob kutoka Bariadi akionyesha igizo lilikuwa likionyesha wajibu wa Vijana  kwa Familia ikiwamo kuwalinda na kuwapatia mahitaji yao muhimu.Mtaalamu wa Stadi za Maisha Bw,Robert Semkiwa akiwafundisha waratibu wa ukimwi na...

 

10 years ago

Michuzi

GEPF WATOA SEMINA MAALUM KWA MAAFISA RASILIMALI WATU KUTOKA MIKOA YA MWANZA, GEITA NA MARA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Magesa Mulongo akifungua rasmi semina hiyo maalum kwa maafisa rasilimali watu na kuusifia Mfuko wa GEPF kwa ubunifu wake na huduma bora kwa wateja.
Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja kutoka Mfuko wa Pensheni wa GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akitoa neno la utangulizi kulia kwake ni Meneja wa GEPF Mkoa wa Mwanza Bw Nathan Makuchilo.Pichani baadhi ya washiriki wa semina hiyo maalum wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Magesa Mulongo wakati wa ufunguzi huo.

 

10 years ago

Vijimambo

UMRI NI SAWA NA KUHESABU NAMBA 1, 2, 3

Babu kanyaga twende mjini kila mtu baby baby uzee mwisho kibaha habari ndiyo hii

 

11 years ago

Mwananchi

Kusoma, kuhesabu kunavyowasumbua wanafunzi shule za msingi

Tangu mwaka 2010, taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Twaweza kupitia mradi wake wa Uwezo, imekuwa ikifanya tafiti katika nchi za Afrika Mashariki zinazolenga kubaini uwezo wa watoto wa shule za msingi katika stadi za kusoma na kuhesabu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sokomoko kuhusu majina ya wapiga kura Mwanza

Katika kituo cha Meko, nje kidogo ya mji wa Mwanza, kumetokea sokomoko, baadhi ya wakazi wanalalamika kwamba majina yao hayaonekani kwenye daftari la wapiga kura.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM, Ukawa wafuata kura milioni 2.8 Mbeya, Mwanza

Siku saba kabla ya uchaguzi, wagombea urais wa Chadema, Edward Lowassa na Dk John Magufuli (CCM) wameanza kuziwinda kura 2,846,537 katika mikoa ya Mwanza na Mbeya ili kuhakikisha zinatosha kuwaingiza Ikulu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani