Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM, Ukawa wafuata kura milioni 2.8 Mbeya, Mwanza

Siku saba kabla ya uchaguzi, wagombea urais wa Chadema, Edward Lowassa na Dk John Magufuli (CCM) wameanza kuziwinda kura 2,846,537 katika mikoa ya Mwanza na Mbeya ili kuhakikisha zinatosha kuwaingiza Ikulu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CCM Mwanza, Ukawa Dar

Pazia la kampeni za uchaguzi litafungwa kesho kwa wagombea urais wa vyama vyote vya siasa kutupa karata zao wakilenga kupata ushawishi wa mwisho kwenye maeneo yenye wapigakura wengi.

 

10 years ago

Vijimambo

NENO UKABILA LATAWALA KAMPENI ZA CCM KURA ZA MAONI JIJINI MBEYA

Na Mwandishi wetu,Mbeya  BAADHI ya wananchi wa Mkoa wa Mbeya, wamekitaka chama cha mapinduzi, kutoa onyo kali kwa wanachama wake ambao ni miongoni mwa wagombea nafasi ya ubunge Jimbo la Mbeya mjini, kuacha kutoa matamshi yanayoashiria vitendo vya ubaguzi wa kikabila. Wakizungumza jiji Mbeya , mara baada ya chama hicho kupitia wilaya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge kwa  wagombea 16 ambao walijitokeza kuwania nafasi hiyo. Walisema, chama kama chama hakijaundwa wala kuongozwa na sera ya...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Breaking News: Vijana wa UKAWA Mwanza Wachoma MOto Masanduku Yaliopigwa Kura Za MAGUFULI na Wamshikilia Dereva Aliebeba Masanduku hayo

HABARI NJEMA…. Tumepokea taarifa kutoka Mwanza, Geita, Shinyanga, Mara na Kagera muda huu saa 4.15 usiku.. Masanduku 3,470 yamekamatwa kwenye magari ya serikali (TANROADS) Yakiwa na jumla ya kura 1,600,00 za Magufuli. Vijana wamekubaliana walale vituoni […]

The post Breaking News: Vijana wa UKAWA Mwanza Wachoma MOto Masanduku Yaliopigwa Kura Za MAGUFULI na Wamshikilia Dereva Aliebeba Masanduku hayo appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

Utafiti wazua taharuki, waibua maswali tata.Kura za maoni: Twaweza yaipa CCM ushindi wa 65%, Ukawa 25%

Mkurugenzi Mkuu wa Twaweza, Aidan Eyakuze akihojiwa na wanahabari
Matokeo ya utafiti kuhusu uchaguzi mkuu yaliyompa ushindi wa asilimia 65 mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli dhidi ya asilimia 25 za Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yameibua taharuki kubwa huku baadhi wakiupinga, kuunga mkono na wengine kuibua maswali kadhaa magumu.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, katika tukio lililorushwa moja kwa moja (live)...

 

11 years ago

Michuzi

MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6 uwanja wa sokoine, mbeya


JUMLA ya shilingi milioni 25,602,000 zimepatikana katika mechi ya Mbeya City na Mtibwa Sugar iliyochezwa katika uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine na timu ya Mbeya City ambayo ilishinda kwa goli 2-1 hapo Jumapili Februari 9, 2014. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Dewji Blog

Serengeti FIESTA 2014 leo kutikisa jiji la Mwanza ndani ya viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza

02 (1)

Mmoja wa wasanii watakaotoa burudani katika matamasha ya mwaka huu ya Serengeti Fiesta, Vanessa Mdee akizungumza wakati wa uzinduzi wa  tamasha la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi leo katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kushoto kwake ni Meneja wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo na mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Sebastian Maganga . Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager....

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura?

Hakuna shaka kua ccm wanataka kufanya wizi wa kubadilisha madokeo ya kura za Uraisi ,vipi madokeo ya kila kituo yanajulikana baada ya umalizikaji wa kupiga kura katika kituo husika halafu leo uambiwe usitangaze nani kashinda katika […]

The post Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura? appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Habarileo

Azam wafuata makali ya Simba

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Azam FC wanaondoka kesho Jumatano kwenda Tanga kwa ajili ya kusaka makali ya kuiua Simba. Azam inatarajia kucheza na wekundu hao wa Msimbazi Desemba 12, mwaka huu katika mchezo wa ligi utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania milioni 24 kupiga kura

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva.OFISI ya Taifa ya Takwimu imetoa makadirio ya idadi ya watu wanaotarajiwa kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 ambao wanakisiwa kuwa watafikia milioni 24.2 nchi nzima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani