MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6 uwanja wa sokoine, mbeya
JUMLA ya shilingi milioni 25,602,000 zimepatikana katika mechi ya Mbeya City na Mtibwa Sugar iliyochezwa katika uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine na timu ya Mbeya City ambayo ilishinda kwa goli 2-1 hapo Jumapili Februari 9, 2014. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Mbeya City na Yanga zaingiza Sh175milioni, zaambulia Sh84milioni
Mbeya City na Yanga zaingiza Sh175milioni, zaambulia Sh84milioni
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-U5TssvFoo1E/UqsuTlI7OoI/AAAAAAAAol8/iVMV7qivvtg/s640/IMG-20131213-WA0013.jpg?width=580)
TASWIRA ZA MATENGENEZO YA UWANJA WA SOKOINE MBEYA
Saleh Kupaza (kulia ) akiwa na mtaalam wa kutengeneza viwanja.…
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Mbeya City wakesha kulinda Sokoine
Katika kile kinachoonekana kutokuwa na imani na watu waliojitokeza katika mchezo wa juzi kati ya Prisons na Yanga, baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa ni mashabiki wa Mbeya City, waliingia lindoni baada ya mchezo huo ili kulinda Uwanja wa Sokoine usiharibiwe.
9 years ago
Mwananchi06 Sep
Mbeya City, Mtibwa Sugar Zajiweka vyema
Timu ya Mbeya City itakuwa kwenye Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani leo kukabiliana na Ruvu Shooting ili kujiweka sawa kwa msimu huu wa ligi.
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Safi Mtibwa Sugar, pole Mbeya City
Ligi Kuu Bara iko mapumziko. Itaendelea tena mwezi ujao baada ya kumaliza duru la kwanza lililoacha maajabu ya aina yake.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania