NENO UKABILA LATAWALA KAMPENI ZA CCM KURA ZA MAONI JIJINI MBEYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-EgtGSxUXC_c/VcCB4rhPkDI/AAAAAAAATJU/xkcVASPKJxs/s72-c/hoja.jpg)
Na Mwandishi wetu,Mbeya BAADHI ya wananchi wa Mkoa wa Mbeya, wamekitaka chama cha mapinduzi, kutoa onyo kali kwa wanachama wake ambao ni miongoni mwa wagombea nafasi ya ubunge Jimbo la Mbeya mjini, kuacha kutoa matamshi yanayoashiria vitendo vya ubaguzi wa kikabila. Wakizungumza jiji Mbeya , mara baada ya chama hicho kupitia wilaya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge kwa wagombea 16 ambao walijitokeza kuwania nafasi hiyo. Walisema, chama kama chama hakijaundwa wala kuongozwa na sera ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fhPygtaQPtk/Vb4bsbbpRKI/AAAAAAAHtTo/oHcxbFJRyxs/s72-c/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini
![](http://4.bp.blogspot.com/-fhPygtaQPtk/Vb4bsbbpRKI/AAAAAAAHtTo/oHcxbFJRyxs/s640/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto 6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri 385Brian Baraka 263
![](http://1.bp.blogspot.com/-LMP3afylAhU/Vb4bssanzKI/AAAAAAAHtTw/-b5C-BzlmoM/s640/unnamed%2B%252833%2529.jpg)
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
Kura za maoni Chadema Mbeya balaa
KURA za maoni, nafasi ya ubunge kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Mbeya zime
Mwandishi Wetu
5 years ago
CCM BlogTUJIKUMBUSHE KAMPENI ZA URAIS TANZANIA 2015: DK MAGUFULI AVUNJA REKODI YA UKAWA MKUTANO WA KAMPENI JIJINI MBEYA
10 years ago
Mwananchi02 Aug
Mauzauza kura za maoni CCM
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
Kishindo kura za maoni CCM
MTIKISIKO wa kura za maoni katika Chama Cha Mapinduzi (CCM), mbali na kusababisha Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makogoro Mhanga kukihama chama hicho, pia umemalizika kwa … kukamatwa na maofisa wa Takukuru huko….
Mkoani Mbeya
Kama ilivyokuwa katika uchaguzi uliopita, Jimbo la Kyela liliendelea kuvuta hisia za wengi ndani na nje ya mkoa huo kutokana na mikakati ya zaidi ya miaka miwili kumng’oa Mbunge wake, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison...
10 years ago
Mwananchi20 Oct
CCM yakataa kesi kura za maoni
10 years ago
Habarileo01 Aug
Kura ya maoni CCM kufanyika leo
BAADA ya kupata mgombea wake wa urais na wagombea walioongoza katika kura za ubunge wa Viti Maalumu, mchakato wa uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo unahamia katika kura za maoni za wabunge wa majimbo, uwakilishi na udiwani nchi nzima.
10 years ago
Dewji Blog04 Aug
Nyalandu apeta kura za maoni CCM
Mgombea ubunge jimbo la Singida kaskazini CCM, Lazaro Samwel Nyalandu, akiwashukru baadhi ya wapiga wake kwa kumpa kura za kutosha.Nyuma ni mke wake Faraja Kotta.
Mgombea ubunge jimbo la Singida kaskazini kupitia CCM, Lazaro Samwel Nyalandu,akibebwa juu juu na wapiga kura na mashabiki wake kwenye viwanja vya CCM mkoa.
Lazaro Samwel...
10 years ago
Habarileo29 Jan
CCM yahimiza ulinzi kuelekea kura ya maoni
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mberwa Hamad Mberwa ameiomba Serikali kuimarisha ulinzi katika kipindi cha kura ya maoni ili kupambana na vitisho vya wapinzani, ambao wametangaza kususa zoezi hilo.