Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mauzauza kura za maoni CCM

Mauzauza jana yalitawala mchakato wa kura za maoni kwa ajili ya kupata wagombea ubunge na udiwani kwa tiketi ya CCM kutokana na kuwapo kwa vitendo vya rushwa, vurugu, kura kuchomwa moto, makada kukamatwa, wanachama kutoruhusiwa kupiga kura na kugundulika kwa karatsi zilizokwishapigwa kura.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Kishindo kura za maoni CCM

MTIKISIKO wa kura za maoni katika Chama Cha Mapinduzi (CCM), mbali na kusababisha Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makogoro Mhanga kukihama chama hicho, pia umemalizika kwa … kukamatwa na maofisa wa Takukuru huko….

Mkoani Mbeya           

Kama ilivyokuwa katika uchaguzi uliopita, Jimbo la Kyela liliendelea kuvuta hisia za wengi ndani na nje ya mkoa huo kutokana na mikakati ya zaidi ya miaka miwili kumng’oa Mbunge wake, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yakataa kesi kura za maoni

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetahadharisha kuwa hakitasikiliza kesi yoyote itakayowasilishwa dhidi ya wajumbe watakaopitishwa katika kura za maoni kwenye uchaguzi mkuu ujao.

 

10 years ago

Dewji Blog

Nyalandu apeta kura za maoni CCM

DSC00960

Katibu wa CCM Singida vijijini. Mwanamvua Khamisi Killo, akitangaza matokeo ya uchaguzi ubunge jimbo la Singida kaskazini.(Picha zote na Nathaniel Limu). 

DSC00971

Mgombea ubunge jimbo la Singida kaskazini CCM, Lazaro Samwel Nyalandu, akiwashukru baadhi ya wapiga wake kwa kumpa kura za kutosha.Nyuma ni mke wake Faraja Kotta.

DSC00955

Mgombea ubunge jimbo la Singida kaskazini kupitia CCM, Lazaro Samwel Nyalandu,akibebwa juu juu na wapiga kura na mashabiki wake kwenye viwanja vya CCM mkoa.

DSC00954

Lazaro Samwel...

 

10 years ago

Habarileo

Kura ya maoni CCM kufanyika leo

BAADA ya kupata mgombea wake wa urais na wagombea walioongoza katika kura za ubunge wa Viti Maalumu, mchakato wa uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo unahamia katika kura za maoni za wabunge wa majimbo, uwakilishi na udiwani nchi nzima.

 

9 years ago

Habarileo

‘Sihami CCM kwa kushindwa kura za maoni’

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) mkoa wa Singida, Diana Chilolo amesema, hawezi kukimbilia upinzani kwa sababu ya kushindwa kwenye kura za maoni za ubunge viti maalumu.

 

10 years ago

Habarileo

CCM yahimiza ulinzi kuelekea kura ya maoni

Makamu Mwenyekiti CCM, Zanzibar, Dk Ali Mohamed SheinMWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mberwa Hamad Mberwa ameiomba Serikali kuimarisha ulinzi katika kipindi cha kura ya maoni ili kupambana na vitisho vya wapinzani, ambao wametangaza kususa zoezi hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kimaro: Kura za maoni kaburi la CCM 2015

Aliyewahi kuwa mbunge wa Vunjo, Aloyce Kimaro amesema utaratibu wa kura za maoni ndani ya CCM, unaweza kuwa kaburi la chama hicho tawala katika uchaguzi mkuu ujao.

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA KURA ZA MAONI ZA CCM JIMBO LA KALENGA

Wagombea wakiwa katika mapozi kabla ya kuanza kwa zoezi la kupiga kura halijaanza
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo wakipiga makofi wakati wakisubiri zoezi la upigaji kura lianze wageni rasmi Msanii wa CCM Ally Bin Ahamed maarufu kwa jina la mpemba asilia akitoa mashairi ya kuipongeza CCM wajumbe wengine
Wagombea nao wakijifariji kwa makofi ya wajumbe

KAIMU Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga amewasihi wajumbe wa mkutano huo kumchangua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani