Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kimaro: Kura za maoni kaburi la CCM 2015

Aliyewahi kuwa mbunge wa Vunjo, Aloyce Kimaro amesema utaratibu wa kura za maoni ndani ya CCM, unaweza kuwa kaburi la chama hicho tawala katika uchaguzi mkuu ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

10 years ago

Mwananchi

Kura ya Maoni Machi 30, 2015

Kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa itafanyika Machi 30 mwakani, gazeti hili limethibitisha.

 

10 years ago

Habarileo

JK: Kura ya Maoni Katiba Aprili 2015

RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa endapo mipango yote itakwenda kama inavyoandaliwa, Watanzania watapata nafasi ya kuipigia kura ya maoni Katiba Inayopendekezwa, ili kukamilisha mchakato wa Tanzania kusaka Katiba mpya. Aliyasema hayo jana jijini hapa wakati alipokutana na kuzungumza na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao katika Jamhuri ya Watu wa China.

 

10 years ago

GPL

KURA ZA MAONI 2015: VURUGU ZAITIKISA NCHI

Issa Mnally na Makongoro OGING’ Zoezi la kura za maoni katika vyama mbalimbali vya siasa hususan Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchagua watakaopeperusha bendera kwenye uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu limezusha vurugu nchini nzima.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Dmp2R9

 

10 years ago

Tanzania Daima

NEC yaongeza utata kura ya maoni 2015

UWEZEKANO wa kufanyika kwa kura ya maoni Aprili 30 mwakani, kama alivyoahidi Rais Jakaya Kikwete ni mdogo, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuthibitisha kwamba itakamilisha kazi ya...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Kishindo kura za maoni CCM

MTIKISIKO wa kura za maoni katika Chama Cha Mapinduzi (CCM), mbali na kusababisha Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makogoro Mhanga kukihama chama hicho, pia umemalizika kwa … kukamatwa na maofisa wa Takukuru huko….

Mkoani Mbeya           

Kama ilivyokuwa katika uchaguzi uliopita, Jimbo la Kyela liliendelea kuvuta hisia za wengi ndani na nje ya mkoa huo kutokana na mikakati ya zaidi ya miaka miwili kumng’oa Mbunge wake, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison...

 

10 years ago

Mwananchi

Mauzauza kura za maoni CCM

Mauzauza jana yalitawala mchakato wa kura za maoni kwa ajili ya kupata wagombea ubunge na udiwani kwa tiketi ya CCM kutokana na kuwapo kwa vitendo vya rushwa, vurugu, kura kuchomwa moto, makada kukamatwa, wanachama kutoruhusiwa kupiga kura na kugundulika kwa karatsi zilizokwishapigwa kura.

 

10 years ago

Mwananchi

JK amkana Werema, asema Kura ya Maoni Aprili, 2015

Jaji Lubuva ashikilia msimamo, asema tarehe ya Jaji Werema haitekelezeki, asisitiza kura kupigwa baada ya uhakiki wa daftari la wapigakura

 

10 years ago

Habarileo

Kura ya maoni CCM kufanyika leo

BAADA ya kupata mgombea wake wa urais na wagombea walioongoza katika kura za ubunge wa Viti Maalumu, mchakato wa uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo unahamia katika kura za maoni za wabunge wa majimbo, uwakilishi na udiwani nchi nzima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani