KURA ZA MAONI 2015: VURUGU ZAITIKISA NCHI
![](http://api.ning.com:80/files/l5U69tqPk5Uls5QVdXLXUN5bN4GsigYFxRRJGFE1R62QyopZmPnm7Cm8sQeeh*ugTPR7m7Oru0jdXQwj6yq6ki00yM0bKQ5v/Vurugu.gif?width=650)
Issa Mnally na Makongoro OGING’ Zoezi la kura za maoni katika vyama mbalimbali vya siasa hususan Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchagua watakaopeperusha bendera kwenye uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu limezusha vurugu nchini nzima. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Dmp2R9
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania02 Apr
Vurugu kura ya maoni bungeni
NA WAANDISHI WETU, DODOMA NA DAR
WABUNGE wa upinzani jana walisababisha kikao cha asubuhi cha Bunge kivunjike, baada ya kusimama na kutaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda atoe kauli juu ya mustakabali wa uandikishaji wapigakura na hatima ya kura ya maoni.
Spika wa Bunge, Anne Makinda, alilazimika kuahirisha kikao hicho baada ya wabunge hao kusimama wote na kuwasha vipaza sauti wakimtaka Pinda atoe kauli, kwani kwa muda mrefu Serikali imekuwa haitoi majibu ya suala hilo.
CHANZO CHA VURUGU
Dalili za...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fhPygtaQPtk/Vb4bsbbpRKI/AAAAAAAHtTo/oHcxbFJRyxs/s72-c/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini
![](http://4.bp.blogspot.com/-fhPygtaQPtk/Vb4bsbbpRKI/AAAAAAAHtTo/oHcxbFJRyxs/s640/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto 6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri 385Brian Baraka 263
![](http://1.bp.blogspot.com/-LMP3afylAhU/Vb4bssanzKI/AAAAAAAHtTw/-b5C-BzlmoM/s640/unnamed%2B%252833%2529.jpg)
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Kura ya Maoni Machi 30, 2015
10 years ago
Habarileo23 Oct
JK: Kura ya Maoni Katiba Aprili 2015
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa endapo mipango yote itakwenda kama inavyoandaliwa, Watanzania watapata nafasi ya kuipigia kura ya maoni Katiba Inayopendekezwa, ili kukamilisha mchakato wa Tanzania kusaka Katiba mpya. Aliyasema hayo jana jijini hapa wakati alipokutana na kuzungumza na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao katika Jamhuri ya Watu wa China.
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
NEC yaongeza utata kura ya maoni 2015
UWEZEKANO wa kufanyika kwa kura ya maoni Aprili 30 mwakani, kama alivyoahidi Rais Jakaya Kikwete ni mdogo, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuthibitisha kwamba itakamilisha kazi ya...
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Kimaro: Kura za maoni kaburi la CCM 2015
10 years ago
Mwananchi23 Oct
JK amkana Werema, asema Kura ya Maoni Aprili, 2015
10 years ago
GPLUKAWA: UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 LAZIMA, KIKWETE ASIONGEZEWE MUDA, KURA YA MAONI BAADAE
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Maoni ya wananchi yakipuuzwa, wataikataa kwa kura ya maoni