UKAWA: UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 LAZIMA, KIKWETE ASIONGEZEWE MUDA, KURA YA MAONI BAADAE
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba (kushoto)Â akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa, James Mbatia (wa pili kutoka kushoto), Mwenyekiti wa Chadema, Mhe Freeman Aikael Mbowe (wa pili kutoka kulia) na Katibu Mkuu wa Chama cha Chadema, Dk Willbroad Slaa (kulia). VYAMA vinavyounda Umoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA) leo vimetoa msimamo wao juu ya njama za...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu aitembelea NEC kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015
Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema jana alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam.
Vifaa mbalimbali...
10 years ago
Michuzi25 Apr
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-q0xCtNigswU/VfSlvTq2VnI/AAAAAAABlxE/N41mk93CnoM/s72-c/11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o.jpg)
KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC KUONA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-q0xCtNigswU/VfSlvTq2VnI/AAAAAAABlxE/N41mk93CnoM/s640/11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-2wbNUQWxs8w/VfSlycBQWUI/AAAAAAABlxM/kATyAIcFBF8/s640/11930774_1465390323770465_1602462128218917504_o.jpg)
10 years ago
Michuzi25 Apr
9 years ago
Dewji Blog30 Sep
NEC: Hakuna wizi na udanganyifu wa kura Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akisalimiana na Mwakilishi wa Chama cha Kitaifa cha Watu Wasioona Zanzibar (ZANAB), Adili Mohamed wakati wa mkutano baina ya taasisi za watu wenye ulemavu nchini na NEC iliyofanyika leo Jumanne Septemba 29, 2015 Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akisalimiana na Mwakilishi wa Shirikisho la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Mkoa wa Dar es Salamm Mohamed Chazi ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ytz*1w0-YzDMI5t5-3Mrao9FkjYa3WR2sA1NCiOQrFt8Dm1uye0-JY9TxC5wfYcYlT2-xdn8Ri6egV6XnZ*brRP4g-nxhZt7/kk.jpg?width=650)
KURA YA MAONI, UCHAGUZI MKUU NI MAMBO YANAYOJADILIKA, YASITUFARAKANISHE
10 years ago
Mtanzania21 Apr
Kura ya maoni, uchaguzi mkuu viko njia panda
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
KUTOKANA na kusuasua kwa uandikishaji wapigakura katika daftari la kudumu, baadhi ya wadau wamekuwa wakisema kuna uwezekano mkubwa Uchaguzi Mkuu ukasogezwa mbele kama ilivyofanyika kwa kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa.
Hata hivyo, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, amelieleza gazeti hili jana kuwa Uchaguzi Mkuu hautasogezwa mbele bali utafanyika kwa mujibu wa Katiba Oktoba, mwaka huu.
Alisema kufikia muda huo uandikishaji...
10 years ago
Mwananchi15 Apr
Ni ndoto Kura ya Maoni, Uchaguzi Mkuu kufanyika pamoja
10 years ago
GPLWALEMAVU WATAKA HAKI YA KUSHIRIKI KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU