KURA YA MAONI, UCHAGUZI MKUU NI MAMBO YANAYOJADILIKA, YASITUFARAKANISHE
![](http://api.ning.com:80/files/Ytz*1w0-YzDMI5t5-3Mrao9FkjYa3WR2sA1NCiOQrFt8Dm1uye0-JY9TxC5wfYcYlT2-xdn8Ri6egV6XnZ*brRP4g-nxhZt7/kk.jpg?width=650)
Rais Jakaya Kikwete. Eric Shigongo Nianze kwa kumtukuza Mungu muumba mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, hakuna wa kumuabudu ila yeye tu.Nianze makala yangu kwa kusema kuwa bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji kura ya maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30, mwaka huu kama alivyowahi kutangaza Rais Jakaya Kikwete. Wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Mar
Mambo sita muhimu kuelekea Kura ya Maoni, Uchaguzi Mkuu
10 years ago
Michuzi25 Apr
10 years ago
Michuzi25 Apr
10 years ago
Mwananchi15 Apr
Ni ndoto Kura ya Maoni, Uchaguzi Mkuu kufanyika pamoja
10 years ago
Mtanzania21 Apr
Kura ya maoni, uchaguzi mkuu viko njia panda
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
KUTOKANA na kusuasua kwa uandikishaji wapigakura katika daftari la kudumu, baadhi ya wadau wamekuwa wakisema kuna uwezekano mkubwa Uchaguzi Mkuu ukasogezwa mbele kama ilivyofanyika kwa kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa.
Hata hivyo, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, amelieleza gazeti hili jana kuwa Uchaguzi Mkuu hautasogezwa mbele bali utafanyika kwa mujibu wa Katiba Oktoba, mwaka huu.
Alisema kufikia muda huo uandikishaji...
10 years ago
GPLCHIKAWE ATOA TAMKO KUHUSU KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
GPLWALEMAVU WATAKA HAKI YA KUSHIRIKI KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU
9 years ago
Michuzi24 Sep
Majibu kwa dukukudu kuhusu kura ya maoni ya Uchaguzi Mkuu ya TWAWEZA
![](https://dl.pushbulletusercontent.com/D45hhPml4fIXmcQacc38zF88DbULnxnH/PhotoGrid_1443120630178.jpg)
Majibu kwa Dukuduku Kuhusu Utafiti Wa Kura Ya Maoni Wa TWAWEZA by Evarist Chahali
10 years ago
GPL25 Apr