Bunge kutuma ofisa Saudia kuhesabu kura
Na Daniel Mjema na Sharon Sauwa, Mwananchi Dodoma. Ofisi ya Bunge la Katiba itamtuma ofisa wake kwenda Makka, Saudi Arabia kusimamia upigaji kura kupitisha Katiba inayopendekezwa kwa wajumbe wa Bunge hilo wanaokwenda Hijja. Hayo yalielezwa jana na Katibu wa Bunge hilo, Yahya Khamis Hamad alipotakiwa kueleza idadi kamili ya wajumbe wa Bunge hilo wanaotarajiwa kuwa nje ya nchi na jinsi watakavyopiga kura. Juzi, Bunge hilo lilizifanyia marekebisho kanuni zake ili kuwaruhusu wajumbe...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Sep
KATIBA MPYA: Bunge kutuma ofisa Saudia kusimamia kura
9 years ago
BBCSwahili26 Oct
Maafisa wajiandaa kuhesabu kura Mwanza
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
Wanawake wapiga kura mara ya kwanza Saudia
10 years ago
Habarileo13 Jan
Kamati ya Bunge yataka Ofisa Utumishi Nkasi ashushwe cheo
KAMATI ndogo ya Bunge ya Hesabu za Serikali imeitaka Wizara inayohusika na Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (Tamisemi) kumuondoa na kumshusha cheo Ofisa Utumishi wa Halmashauri ya Nkasi, Deogratias Mboya.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-KxNXYMIfvoQ/VLCvc-3OviI/AAAAAAADVIw/DEVgrEFO7-k/s72-c/62935_320057761449107_1891553044_n.jpg)
UMRI NI SAWA NA KUHESABU NAMBA 1, 2, 3
![](http://1.bp.blogspot.com/-KxNXYMIfvoQ/VLCvc-3OviI/AAAAAAADVIw/DEVgrEFO7-k/s1600/62935_320057761449107_1891553044_n.jpg)
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Kusoma, kuhesabu kunavyowasumbua wanafunzi shule za msingi
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Kura zataabisha Bunge la Katiba
BUNGE Maalum la Katiba, limepitisha azimio la kuzifanyia marekebisho kanuni za 30, 36 na 38 ili kuruhusu wajumbe watakaokuwa nje ya Bunge (ndani au nje ya nchi), wapige kura za...
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Bunge kuamua kura yake leo
BUNGE Maalumu la Katiba leo litaamua aina ya kura itakayotumika kufanya uamuzi wakati wa kupitisha ibara au rasimu ya Katiba mpya. Hatua hiyo inatokana na wajumbe wa Bunge hilo kutofikia...
10 years ago
Vijimambo23 Sep
Bunge la Katiba:Kura kupigwa ughaibuni
![](http://api.ning.com/files/1zruj0PgXfiVqWmhTz7EkpJpSEdEJcu19PxRoRgM4slac27lAmPmI7j8XI0bw4BOC4H0Yr5huqmS7vzYVKVcOuxNyx6noB4x/RaisahutubiaBungelaKatiba1.jpg)
Hali hiyo ilijitokeza wakati wajumbe waliokuwa wakipinga kufanyika kwa marekebisho hayo alipokuwa akiwaingilia na kuwakatisha na wakati mwingine kuwatuhumu kuwa ni waongo na wanazua kwamba, azimio hilo ni la kulazimisha ili wapige kura.
Alifanya hivyo wakati wajumbe watatu kwa nyakati...