Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge la Katiba:Kura kupigwa ughaibuni

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, ametumia ‘ubabe’ kuongoza Bunge hilo kufanya marekebisho ya kanuni ili kuruhusu wajumbe watakaokuwa nje ya Bunge siku ya kupiga kura wafanye hivyo kwa kutumia mtandao.

Hali hiyo ilijitokeza wakati wajumbe waliokuwa wakipinga kufanyika kwa marekebisho hayo alipokuwa akiwaingilia na kuwakatisha na wakati mwingine kuwatuhumu kuwa ni waongo na wanazua kwamba, azimio hilo ni la kulazimisha ili wapige kura.

Alifanya hivyo wakati wajumbe watatu kwa nyakati...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

KwanzaJamii

MAAMUZI MAGUMU BUNGE LA KATIBA, KURA KUPIGWA HADI ALHAMISI

Na Emmanuel Lengwa Hatimaye Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba (BMK) leo wanaanza kufanya maamuzi magumu kwa kupiga kura yenye lengo la kupitisha rasimu ya Katiba inayopendekezwa huku kukiwa na taarifa kuwa huenda masuala kadhaa likiwamo theluthi mbili yakaikwamisha. Hatua ya upigaji kura itakayohitimishwa Alhamisi wiki hii na Ijumaa kutunga sheria ya kipindi cha mpito kabla ya katiba kuanza kutumika, inafikiwa baada ya Bunge hilo kutumia zaidi ya siku 130 mjini Dodoma wakitunga...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kura zataabisha Bunge la Katiba

BUNGE Maalum la Katiba, limepitisha azimio la kuzifanyia marekebisho kanuni za 30, 36 na 38 ili kuruhusu wajumbe watakaokuwa nje ya Bunge (ndani au nje ya nchi), wapige kura za...

 

11 years ago

Mwananchi

Kura bado kitendawili Bunge la Katiba

Wakati wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakipitisha Rasimu ya Kanuni za kuendesha Bunge hilo, suala la aina ya kura kwa ajili ya kuamua masuala mbalimbali, limekwama na litaamuliwa na wabunge baada ya kuanza kwa vikao rasmi vya Bunge hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kura ya hapana yatikisa Bunge Maalumu la Katiba

Wajumbe wa Bunge la Maalumu la Katiba jana walianza kupiga kura za kuamua ibara za Katiba inayopendekezwa, huku kura za wajumbe kutoka Zanzibar zikiibua wasiwasi wa iwapo theluthi mbili itapatikana au la.

 

11 years ago

Mtanzania

Mjumbe Bunge la Katiba apigia kura wodini

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba aliyepigwa na watu wasiojulikana, Thomas Mgoli

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba aliyepigwa na watu wasiojulikana, Thomas Mgoli

NA ESTHER MBUSSI, DODOMA

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba aliyepigwa na watu wasiojulikana, Thomas Mgoli, amepiga kura akiwa wodini katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma alikolazwa.

Mgoli alipiga kura jana akiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati namba 12, Thuwaibay Kissassi.

Alipiga kura ya wazi kwa kuzipigia kura ya ndiyo sura ya pili hadi ya tano isipokuwa ibara ya 59.

Akizungumza baada ya kupiga kura, ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Kura ya siri, wazi kaa la moto Bunge la Katiba

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, juzi na jana wamekuwa katika mtihani mgumu wa kufikia uamuzi wa pamoja kuhusu utaratibu wa upigaji kura, kati ya kura ya wazi na kura ya siri.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba liahirishwe, twende kwenye kura ya maoni

Bunge Maalumu la Katiba linatarajiwa kuanza mnamo Agosti 5 mwaka huu, likiendeleza mjadala wa siku 70 wa rasimu ya Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Bunge kutuma ofisa Saudia kusimamia kura

>Ofisi ya Bunge la Katiba itamtuma ofisa wake kwenda Makka, Saudi Arabia kusimamia upigaji kura kupitisha Katiba inayopendekezwa kwa wajumbe wa Bunge hilo wanaokwenda Hijja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani