Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAAMUZI MAGUMU BUNGE LA KATIBA, KURA KUPIGWA HADI ALHAMISI

Na Emmanuel Lengwa Hatimaye Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba (BMK) leo wanaanza kufanya maamuzi magumu kwa kupiga kura yenye lengo la kupitisha rasimu ya Katiba inayopendekezwa huku kukiwa na taarifa kuwa huenda masuala kadhaa likiwamo theluthi mbili yakaikwamisha. Hatua ya upigaji kura itakayohitimishwa Alhamisi wiki hii na Ijumaa kutunga sheria ya kipindi cha mpito kabla ya katiba kuanza kutumika, inafikiwa baada ya Bunge hilo kutumia zaidi ya siku 130 mjini Dodoma wakitunga...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BUNGE MAALUM LA KATIBA:Maamuzi magumu leo

  Kura kupigwa hadi Alhamisi
  Sheria ya mpito kupitishwa IjumaaHatimaye Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba (BMK) leo wanaanza kufanya maamuzi magumu kwa kupiga kura yenye lengo la kupitisha rasimu ya Katiba inayopendekezwa huku kukiwa na taarifa kuwa huenda masuala kadhaa likiwamo theluthi mbili yakaikwamisha.

Hatua ya upigaji kura itakayohitimishwa Alhamisi wiki hii na Ijumaa kutunga sheria ya kipindi cha mpito kabla ya katiba kuanza kutumika, inafikiwa baada ya Bunge hilo kutumia zaidi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Bunge la Katiba:Kura kupigwa ughaibuni

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, ametumia ‘ubabe’ kuongoza Bunge hilo kufanya marekebisho ya kanuni ili kuruhusu wajumbe watakaokuwa nje ya Bunge siku ya kupiga kura wafanye hivyo kwa kutumia mtandao.

Hali hiyo ilijitokeza wakati wajumbe waliokuwa wakipinga kufanyika kwa marekebisho hayo alipokuwa akiwaingilia na kuwakatisha na wakati mwingine kuwatuhumu kuwa ni waongo na wanazua kwamba, azimio hilo ni la kulazimisha ili wapige kura.

Alifanya hivyo wakati wajumbe watatu kwa nyakati...

 

10 years ago

Mwananchi

Daftari la Wapiga kura: Chadema kuchukua maamuzi magumu

Wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) ikisisitiza kuwa ratiba ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura itaenda kama ilivyopangwa, kamati kuu ya chama cha Demokrasi na Maendeleo imesema itachukua maamuzi magumu endapo shughuli za uboreshaji huo zitachelewa na kuharibu mchakato wa kura ya maoni.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kura ya maamuzi kuhusu katiba yaandaliwa Congo

Congo-Brazzaville inaandaa kura ya maamuzi leo kuhusu marekebisho ya katiba ambayo yatakayomuwezesha Rais Sassou Nguesso kuwania kwa muhula wa tatu.

 

11 years ago

Habarileo

Mambo magumu Bunge la Katiba

KURA ya siri au ya wazi ambayo jana ilikuwa ipatiwe ufumbuzi na kamati ya mashauriano, imeshindikana tena kwa kile kinachoelezwa kuwa wajumbe wa kamati hiyo kushindwa kuafikiana. Eneo lingine ambalo ni moto kwa Bunge Maalumu ni juu ya utaratibu wa Bunge hilo kufanya uamuzi ambao rasimu inaelekeza kuwa ili hoja au ibara ipite ni lazima iungwe mkono na wajumbe theluthi mbili kutoka Bara na theluthi mbili kutoka Visiwani.

 

11 years ago

Habarileo

Maswali magumu Bunge la Katiba

WAKATI wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakijikusanya mjini Dodoma leo, kuanza safari ya siku 70 mpaka 90 ya kuwapatia Watanzania Katiba mpya, wasomi zaidi ya 100 wanakutana Dar es Salaam, kujibu maswali magumu yanayotakiwa kupatiwa ufumbuzi wa mwisho na Bunge hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo manne magumu Bunge Maalumu la Katiba

Bunge Maalumu la Katiba limebaini mambo manne magumu ambayo yameonekana kuzua mivutano isiyo na mwafaka katika vikao vya kamati zake.

 

10 years ago

Raia Mwema

Watu wa ‘maamuzi’ magumu

MPAMBANO wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu utahusisha wagombea wawili ambao wana sifa mo

Ezekiel Kamwaga

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani