Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BUNGE MAALUM LA KATIBA:Maamuzi magumu leo

  Kura kupigwa hadi Alhamisi
  Sheria ya mpito kupitishwa IjumaaHatimaye Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba (BMK) leo wanaanza kufanya maamuzi magumu kwa kupiga kura yenye lengo la kupitisha rasimu ya Katiba inayopendekezwa huku kukiwa na taarifa kuwa huenda masuala kadhaa likiwamo theluthi mbili yakaikwamisha.

Hatua ya upigaji kura itakayohitimishwa Alhamisi wiki hii na Ijumaa kutunga sheria ya kipindi cha mpito kabla ya katiba kuanza kutumika, inafikiwa baada ya Bunge hilo kutumia zaidi ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

KwanzaJamii

MAAMUZI MAGUMU BUNGE LA KATIBA, KURA KUPIGWA HADI ALHAMISI

Na Emmanuel Lengwa Hatimaye Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba (BMK) leo wanaanza kufanya maamuzi magumu kwa kupiga kura yenye lengo la kupitisha rasimu ya Katiba inayopendekezwa huku kukiwa na taarifa kuwa huenda masuala kadhaa likiwamo theluthi mbili yakaikwamisha. Hatua ya upigaji kura itakayohitimishwa Alhamisi wiki hii na Ijumaa kutunga sheria ya kipindi cha mpito kabla ya katiba kuanza kutumika, inafikiwa baada ya Bunge hilo kutumia zaidi ya siku 130 mjini Dodoma wakitunga...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

10 years ago

Michuzi

Bunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...

 

10 years ago

Michuzi

RASIMU KATIBA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI LEO KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, leo 24 Septemba, 2014. Kulia ni mjumbe wa Bunge hilo, Dkt. Tulia Ackson. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini...

 

10 years ago

Vijimambo

BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba. Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Amon Mpanju akisoma Azimio la kupitisha marekebisho ya Kanuni za Bunge Maalum leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ezekiel Olouch akichangia mada wakati wa usomaji wa Azimio la kupitisha marekebisho ya Kanuni za Bunge Maalum leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Pindi...

 

11 years ago

Michuzi

taswira kutoka bunge maalum la katiba leo

 Mchungaji Peter Msigwa kushoto akijadiliana Jambo na Naibu waziri wa Sheria na Katiba Mhe Angellah Jasmine Kairuki. Wajumbe Profesa Ibrahim Lipumba na Mheshimiwa Ismail Jusa Ladhu wakijadiliana jambo. M/kiti wa kamati namba mbili Mhe.Shamsi Vuai Nahodha akiwasilisha  taarifa za kamati namba mbili leo katika bunge maalum
 Mheshimiwa Ismail Jusa Ladhu akimwonyesha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema   Mhe Profesa Mark Mwandosya kushoto akitafakari jambo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani