Kura bado kitendawili Bunge la Katiba
Wakati wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakipitisha Rasimu ya Kanuni za kuendesha Bunge hilo, suala la aina ya kura kwa ajili ya kuamua masuala mbalimbali, limekwama na litaamuliwa na wabunge baada ya kuanza kwa vikao rasmi vya Bunge hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo03 Mar
Ufunguzi Bunge la Katiba bado fumbo
MPAKA sasa haijulikani lini Bunge Maalumu la Katiba litafunguliwa rasmi, kutokana na kuendelea kusogezwa mbele kwa shughuli muhimu za Bunge hilo kabla ya kufunguliwa kwake.
11 years ago
Mwananchi27 Aug
Mzimu wa serikali tatu bado walitesa Bunge la Katiba
10 years ago
Vijimambo
MADUKA MBEYA BADO NI KITENDAWILI






Picha na Mbeya yetu
10 years ago
BBCSwahili25 Jun
Uchumi wa Ugiriki bado ni kitendawili
10 years ago
BBCSwahili04 Mar
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Ukatili wa kijinsi bado ni kitendawili
UKATILI dhidi ya Wanawake ni ukiukwaji ulionea wa haki za binadamu , ni janga la kibinadamu katika jamii, na kikwazo cha kufikia usawa, maendeleo, usalama na amani. Maneno “ukatili dhidi...
11 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Kura zataabisha Bunge la Katiba
BUNGE Maalum la Katiba, limepitisha azimio la kuzifanyia marekebisho kanuni za 30, 36 na 38 ili kuruhusu wajumbe watakaokuwa nje ya Bunge (ndani au nje ya nchi), wapige kura za...
11 years ago
Mwananchi21 Sep
Vitambulisho vya Taifa bado ni kitendawili
10 years ago
Habarileo05 Nov
Akaunti ya Escrow bado kitendawili bungeni
JARIBIO la wabunge la kuishinikiza Serikali kuwasilisha bungeni ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu madai ya kuchotwa kwa zaidi ya Sh bilioni 200 kutoka katika akaunti ya Escrow, limekwama.