Kura ya hapana yatikisa Bunge Maalumu la Katiba
Wajumbe wa Bunge la Maalumu la Katiba jana walianza kupiga kura za kuamua ibara za Katiba inayopendekezwa, huku kura za wajumbe kutoka Zanzibar zikiibua wasiwasi wa iwapo theluthi mbili itapatikana au la.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Nitapiga kura ya hapana kwa Katiba
BAADA ya kufuatilia mwenendo mzima wa Bunge Maalum la Katiba nimejiridhisha kwamba katiba iliyopendekezwa ilipitishwa kwa hila kwa kuzingatia matakwa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kutokana na mazingira ya upitishwaji...
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Butiku: Si dhambi kupigia Katiba kura ya hapana
10 years ago
Mtanzania26 Jan
Butiku ahamasisha kura ya hapana Katiba Mpya
Na Shomari Binda, Musoma
WAJUMBE wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wamewataka Watanzania kuikataa Katiba inayopendekezwa kwa kuwa haikuzingatia masilahi ya Watanzania.
Waliyasema hayo juzi katika ukumbi wa MCC, mjini Musoma kwenye mdahalo wa kujadili na kuelimisha wananchi kuhusiana na mchakato wa kupata Katiba Mpya na kuwataka kupiga kura ya hapana.
Akizungumza katika mdahalo huo, aliyekuwa Mjumbe wa Tume hiyo, Joseph Butiku, alisema mchakato wa kukusanya maoni ya Katiba,...
11 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Kwa katiba hii kura yangu ni hapana
BAADA ya kufuatilia mwenendo mzima wa Bunge Maalum la Katiba, nimejiridhisha kwamba nikizingatia mimi ni mkweli na nina uhuru wa kupiga kura ya maoni, ya kwangu ni “hapana, hapana, hapana”....
11 years ago
Michuzi.jpg)
wasanii wavamia bunge maalumu la katiba kudai haki zao zitambulike katka katiba mpaya dodoma
Wsanii 12 wakiwemo viongozi toka Shirikisho la muziki, Shirikisho la Filamu, Shirikisho la Sanaa za ufundi, Mtandao wa Wanamuziki Tanzania walifunga safari na kuvamia Dododma na kuwa na mfululizo wa mikutano na wabunge mbalimbali ili kuwashawishi waunge mkono vipengele viwili ambavyo wasanii wanavitaka katika Katiba 1. Kundi la wasanii kutambuliwa katika Katiba kama vile walivyotambuliwa Wakulima, wafugaji, wavuvi na wafugaji walivyotajwa 2. Milliki Bunifu kwa kiingereza Intellectual...
11 years ago
Mwananchi07 Sep
Mgogoro Bunge Maalumu la Katiba
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Bunge Maalumu la Katiba kusambaratika?
RAIS wangu wahenga walisema, “Kinachowezekana leo kisingoje kesho”. Inaaminika kuwa akili zetu za leo hazijawahi kuwa kubwa kufikia ukubwa wa akili walizokuwanazo wahenga wetu. Ndiyo maana mpaka leo tunafikiri huku...
11 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Maajabu ya akidi Bunge Maalumu la Katiba
UKIACHILIA mbali, tabasamu lenye mashaka la baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ukiacha na jina iliyopewa kuwa ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2014, Ukiacha kuzingatia...
11 years ago
Michuzi.jpg)
TASWIRA ZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA
.jpg)
