Butiku: Si dhambi kupigia Katiba kura ya hapana
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema si dhambi kwa wananchi kupiga kura ya hapana Katiba Inayopendekezwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania26 Jan
Butiku ahamasisha kura ya hapana Katiba Mpya
Na Shomari Binda, Musoma
WAJUMBE wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wamewataka Watanzania kuikataa Katiba inayopendekezwa kwa kuwa haikuzingatia masilahi ya Watanzania.
Waliyasema hayo juzi katika ukumbi wa MCC, mjini Musoma kwenye mdahalo wa kujadili na kuelimisha wananchi kuhusiana na mchakato wa kupata Katiba Mpya na kuwataka kupiga kura ya hapana.
Akizungumza katika mdahalo huo, aliyekuwa Mjumbe wa Tume hiyo, Joseph Butiku, alisema mchakato wa kukusanya maoni ya Katiba,...
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Nitapiga kura ya hapana kwa Katiba
BAADA ya kufuatilia mwenendo mzima wa Bunge Maalum la Katiba nimejiridhisha kwamba katiba iliyopendekezwa ilipitishwa kwa hila kwa kuzingatia matakwa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kutokana na mazingira ya upitishwaji...
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Kura ya hapana yatikisa Bunge Maalumu la Katiba
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Kwa katiba hii kura yangu ni hapana
BAADA ya kufuatilia mwenendo mzima wa Bunge Maalum la Katiba, nimejiridhisha kwamba nikizingatia mimi ni mkweli na nina uhuru wa kupiga kura ya maoni, ya kwangu ni “hapana, hapana, hapana”....
10 years ago
Vijimambo10 Oct
BUNGE KUPIGIA KURA KATIBA MPYA NI ISHARA YA KUIMARIKA UTAWALA BORA,MUKASA
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F4.bp.blogspot.com%2F-exb7q6ZvuPM%2FVDgnWFUJAxI%2FAAAAAAAAX7o%2FBPa2BPcl6u0%2Fs1600%2FUNGA%252B005.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F3.bp.blogspot.com%2F-MnYA9Vprszg%2FVDgna_36AvI%2FAAAAAAAAX7w%2F6s-GjrLilG8%2Fs1600%2FUNGA%252B006.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Na. Ally Kondo, New YorkSerikali imesema kuwa mchakato wa kuandaa Katiba mpya ambayo imepitishwa na Bunge Maalum la Katiba hivi karibuni ni ishara ya wazi kuwa, Serikali imedhamiria kuongoza nchi kwa mujibu ya matakwa ya wananchi wake na kuzingatia Utawala wa Sheria.
Kauli hiyo ilitolewa na Afisa wa Wizara ya Mambo ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MnYA9Vprszg/VDgna_36AvI/AAAAAAAAX7w/6s-GjrLilG8/s72-c/UNGA%2B006.jpg)
BUNGE KUPIGIA KURA KATIBA MPYA NI ISHARA YA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA - MUKASA
![](http://3.bp.blogspot.com/-MnYA9Vprszg/VDgna_36AvI/AAAAAAAAX7w/6s-GjrLilG8/s1600/UNGA%2B006.jpg)
Na. Ally Kondo, New YorkSerikali imesema kuwa mchakato wa kuandaa Katiba mpya ambayo imepitishwa na Bunge Maalum la Katiba hivi karibuni ni ishara ya wazi kuwa, Serikali imedhamiria kuongoza nchi kwa mujibu ya matakwa ya wananchi wake na kuzingatia Utawala wa Sheria. Kauli hiyo ilitolewa na Afisa wa Wizara ya Mambo...
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura
9 years ago
Mzalendo Zanzibar11 Sep
Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura?
Hakuna shaka kua ccm wanataka kufanya wizi wa kubadilisha madokeo ya kura za Uraisi ,vipi madokeo ya kila kituo yanajulikana baada ya umalizikaji wa kupiga kura katika kituo husika halafu leo uambiwe usitangaze nani kashinda katika […]
The post Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura? appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
CHADEMA: Pigeni kura ya hapana
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewataka Watanzania kujiandaa kupiga kura ya hapana dhidi ya katiba itakayopelekwa kwao ikiwa na muundo wa serikali mbili unaotakiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)....