Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA: Pigeni kura ya hapana

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewataka Watanzania kujiandaa kupiga kura ya hapana dhidi ya katiba itakayopelekwa kwao ikiwa na muundo wa serikali mbili unaotakiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

‘Pigeni kura mlikojiandikisha’

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwenda kupiga kura ya urais, ubunge na udiwani katika vituo walivyojiandikisha kulingana na tamko la sheria ya uchaguzi na si vinginevyo.

 

9 years ago

Habarileo

TOC: Wanamichezo pigeni kura kwa amani

KAMATI ya Olimpiki Tanzania (TOC) imewataka wanamichezo wote wenye haki ya kupiga kura kujitokeza kwa wingi kesho kutumia haki yao ya kikatiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Kura ya hapana yawagawa Zanzibar

Uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar (AG), Othman Masoud Othman wa kupinga vifungu 22 vya Rasimu ya Katiba na kupiga kura ya hapana, umeibua mjadala mkali Zanzibar na kuwapasua vichwa wanasheria, wanasiasa na wananchi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki wapiga kura ya Hapana

Maelfu ya raia wa Ugirik usiku wa leo wametawanyika katika mitaa ya mjini Anthens karibu na jengo la bunge,

 

10 years ago

Dewji Blog

CUF yapongeza kura za hapana

magdalena-sakaya

Naibu Katibu Mkuu wa  Chama cha Wananchi (CUF) Tanzania Bara Magdalena Sakaya.

Na Mwandishi wetu

CHAMA   Cha Wananchi (CUF), kimewapongeza  Wajumbe wote wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kupiga kura ya wazi ya hapana kuhusu Rasimu inayopendekezwa licha ya kuchukua posho zote za Bunge hilo wakati wakijua fika kuwa hakuna Katiba isiyokuwa na maridhiano.

Akizungumza katika Mikutano ya hadhara katika Vijiji vya Isakamuleme na Silambo vilivyopo katika Kata ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Waliopiga kura ya hapana walalamika kutishwa

>Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba waliopiga kura za hapana wamelazimika kuondoka Dodoma na kurudi Zanzibar kwa madai ya vitisho walivyopata kutoka kwa wenzao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nitapiga kura ya hapana kwa Katiba

BAADA ya kufuatilia mwenendo mzima wa Bunge Maalum la Katiba nimejiridhisha kwamba katiba iliyopendekezwa ilipitishwa kwa hila kwa kuzingatia matakwa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kutokana na mazingira ya upitishwaji...

 

10 years ago

Vijimambo

Kura za hapana,siri zarindima bungeni

  Kampeni kali zatawala kwa wajumbeWajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, jana walianza kupiga kura kupitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, huku ikifanyika kampeni kali kusaka theluthi mbili za wajumbe baada ya suala la Mahakama ya Kadhi kushindikana kuingizwa kwenye rasimu hiyo.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wajumbe watatu wanaowakilisha madherhebu ya dini na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge, walipewa fursa ya kuzungumza na kutoa kauli za kuwashawishi wajumbe wakubali...

 

10 years ago

Mwananchi

Kura ya hapana yatikisa Bunge Maalumu la Katiba

Wajumbe wa Bunge la Maalumu la Katiba jana walianza kupiga kura za kuamua ibara za Katiba inayopendekezwa, huku kura za wajumbe kutoka Zanzibar zikiibua wasiwasi wa iwapo theluthi mbili itapatikana au la.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani