Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TOC: Wanamichezo pigeni kura kwa amani

KAMATI ya Olimpiki Tanzania (TOC) imewataka wanamichezo wote wenye haki ya kupiga kura kujitokeza kwa wingi kesho kutumia haki yao ya kikatiba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

‘Pigeni kura mlikojiandikisha’

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwenda kupiga kura ya urais, ubunge na udiwani katika vituo walivyojiandikisha kulingana na tamko la sheria ya uchaguzi na si vinginevyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA: Pigeni kura ya hapana

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewataka Watanzania kujiandaa kupiga kura ya hapana dhidi ya katiba itakayopelekwa kwao ikiwa na muundo wa serikali mbili unaotakiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)....

 

9 years ago

Mwananchi

Wanamichezo waomba amani

Wanamichezo mbalimbali wamewataka Watanzania kujitokeza kupiga kura kwa utulivu na kusubiri matokeo bila kufanya fujo wala kuhatarisha amani iliyopo nchini kwa sasa.

 

9 years ago

Habarileo

RC ataka ushirikiano kura kupigwa kwa amani

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Sadiki amewataka waratibu wa uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi na viongozi wa vyama vya siasa katika mkoa huo kuhakikisha kuwa wanafanya kazi zao kwa ushirikiano ili kuwawezesha wananchi kupiga kura kwa amani na utulivu na kuepusha manung’uniko yasiyokuwa na maana.

 

9 years ago

Habarileo

Upigaji kura waendelea kwa amani na utulivu

WATANZANIA leo waliamka mapema na kuwahi katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wao watakaoliongoza taifa lao katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Misururu mirefu imeonekana katika maeneo mengi ya nchi hususani katika jiji la Dar es Salaam, hali inayoonesha kuwa watu wajejawa na hamasa kubwa ya kuchagua kiongozi wao kama walivyokuwa wakijitokeza katika mikutano ya kampeni.

Watu wengi wamejitokeza katika vituo mapema kabisa leo alfajiri ambapo vituo vilifunguliwa...

 

9 years ago

GPL

TUPIGE KURA, TUPOKEE MATOKEO KWA AMANI

JUMAPILI ya kesho, Oktoba 25, 2015, Tanzania inafanya Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uchaguzi ni nini? Zipo tafsiri mbalimbali lakini mojawapo na iliyo wazi ni kwamba, ni njia ya kidemokrasia inayotumiwa na watu kuchagua viongozi wa kuwaongoza kwa kipindi fulani kwa mujibu wa Katiba au utaratibu waliojiwekea wenyewe. Huu ni Uchaguzi Mkuu wa Tano...

 

9 years ago

Michuzi

ZOEZI LA UPIGAJI KURA LAENDELEA KWA UTULIVU NA AMANI VISIWANI ZANZIBAR

 Baadhi ya Wananchi wakihakiki majina yao tayari kwa kupiga kura ya kuwachangua Marais, Wabunge, wawakilishi na Madiwani hapo katika kituo cha kupiga kura skuli ya Sekondari Kitope Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.  Wananchi wakihakiki majina yao tayari kwa kupiga kura ya kuwachangua Marais, Wabunge, wawakilishi na Madiwani hapo katika kituo cha kupiga kura skuli ya Sekondari Kitope Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.Baadhi ya Wananchi wakiwa katika foleni kwa...

 

9 years ago

Michuzi

ZOEZI ZA UPIGAJI KURA LAANZA NA KUENDELEA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM

 Wapiga kura kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam wakiwajibika kwa utulivu na amani asubuhi hii. Utulivu na amani watawala kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Nidhamu, utulivu, uvumilivu na amani vyatawala kila sehemu. Hapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa PwaniHapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa Pwani Kituo cha Afisa Mtendaji wa Kata ya Olorieni jijini Arusha 
Kituo cha Dispensary ya Kata ya Olorieni, Arusha. 
Picha kwa hisani ya blogger Seria

 

9 years ago

Mwananchi

Tupige kura, tupokee matokeo kwa amani na utulivu, kuna maisha baada ya uchaguzi

Keshokutwa, Tanzania inafanya Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani