Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Pigeni kura mlikojiandikisha’

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwenda kupiga kura ya urais, ubunge na udiwani katika vituo walivyojiandikisha kulingana na tamko la sheria ya uchaguzi na si vinginevyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA: Pigeni kura ya hapana

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewataka Watanzania kujiandaa kupiga kura ya hapana dhidi ya katiba itakayopelekwa kwao ikiwa na muundo wa serikali mbili unaotakiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)....

 

9 years ago

Habarileo

TOC: Wanamichezo pigeni kura kwa amani

KAMATI ya Olimpiki Tanzania (TOC) imewataka wanamichezo wote wenye haki ya kupiga kura kujitokeza kwa wingi kesho kutumia haki yao ya kikatiba.

 

9 years ago

Habarileo

‘Viongozi wa dini pigeni vita dawa za kulevya’

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuungana kwa pamoja na kushiriki katika vita ya dawa za kulevya, kwani ushiriki wao utaweza kumaliza vita hiyo, ambayo ni ngumu na inaliangamiza Taifa. Amesema uwezekano wa kutokomeza matumizi ya dawa za kulevya nchini upo, iwapo viongozi wa dini watakuwa mstari wa mbele kuhubiri madhara ya dawa hizo, ambazo zinaangamiza nguvu kazi kubwa ya taifa.

 

10 years ago

Habarileo

Waislamu pigeni vita vikundi vya ugaidi-Bilal

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal.MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dk Mohammed Gharib Bilal amesisitiza kwamba ni lazima waumini wa dini ya Kiislamu wawe katika sura halisi ya dini hiyo kuliko inavyotafsiriwa katika dunia ya leo na kuhusishwa na ugaidi.

 

9 years ago

Mwananchi

Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema wapiga kura waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi utakaofanyika nchini kote siku ya Jumapili.

 

9 years ago

Raia Mwema

Jinsi wapiga kura wa vijijjini ‘walivyomwibia’ Lowassa kura

Hatimaye uchaguzi umemalizika!

Kitila Mkumbo

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura?

Hakuna shaka kua ccm wanataka kufanya wizi wa kubadilisha madokeo ya kura za Uraisi ,vipi madokeo ya kila kituo yanajulikana baada ya umalizikaji wa kupiga kura katika kituo husika halafu leo uambiwe usitangaze nani kashinda katika […]

The post Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura? appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

wapiga kura wampongeza jerry silaa kwa kushinda katika kura za maoni jimbo la ukonga

 Wananchi wa Jimbo la Ukonga wakiwa nyumbani kwa mgombea ubunge wa jimbo hilo aliyeibuka kidedea, Jerry Silaa.Mgombea Jerry Silaa akishukuru wapiga kura baada ya kuibuka kidedea kwa kupata kura 10,382 huku mshindani wake PATEL Ramesh akipata kura 7355. Mgombea ubunge huyo aliwashukuru wananchi na wanaCCM waliokwenda nyumbani kumpongeza na kuwapongeza wagombea wenzake wote,na kuongeza kuwa wiki moja waliyokuwa pamoja amejifunza mengi, anaamini watashirikiana kufanikisha Ushindi wa CCM October...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni

Mwenyekiti wa Chadema, Mh Freeman Thursday, October 15, 2015 Mwenyekiti wa Chadema, mh Freeman Mbowe amemtaka Rais Kikwete kutovuruga amani ya nchi na badala yake amemtaka aondoke madarakani na kuiacha nchi ikiwa salama. Mbowe alitoa kauli […]

The post Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani