Waislamu pigeni vita vikundi vya ugaidi-Bilal
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dk Mohammed Gharib Bilal amesisitiza kwamba ni lazima waumini wa dini ya Kiislamu wawe katika sura halisi ya dini hiyo kuliko inavyotafsiriwa katika dunia ya leo na kuhusishwa na ugaidi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Apr
Vita vya Kenya dhidi ya ugaidi
9 years ago
Habarileo25 Dec
‘Viongozi wa dini pigeni vita dawa za kulevya’
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuungana kwa pamoja na kushiriki katika vita ya dawa za kulevya, kwani ushiriki wao utaweza kumaliza vita hiyo, ambayo ni ngumu na inaliangamiza Taifa. Amesema uwezekano wa kutokomeza matumizi ya dawa za kulevya nchini upo, iwapo viongozi wa dini watakuwa mstari wa mbele kuhubiri madhara ya dawa hizo, ambazo zinaangamiza nguvu kazi kubwa ya taifa.
5 years ago
BBCSwahili29 Feb
Vita vya Afghan: Marekani na Taliban watia saini kumaliza vita vya miezi 18
10 years ago
Habarileo24 Mar
Vita dhidi ya ugaidi kuimarishwa
LICHA ya jeshi la polisi kuwakamata watuhumiwa 84 wa matukio ya kigaidi nchini na 17 kati yao kufunguliwa mashitaka, Rais Jakaya Kikwete amelitaka jeshi hilo kuendelea kujipanga kukabiliana na aina yoyote ya tishio la kigaidi, huku akisema Serikali itaendelea kuliwezesha katika kukabiliana nao.
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Tunisia yatangaza vita dhidi ya ugaidi
10 years ago
BBCSwahili21 Sep
Je,Kenya inashinda vita dhidi ya ugaidi?
5 years ago
BBCSwahili28 Jun
Je vita 'dhidi ya ugaidi' vitawahi kuitaisha?
9 years ago
StarTV22 Aug
Polisi yapiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama
![Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mafunzo, Paul](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2841918/highRes/1098575/-/maxw/600/-/ao1qrjz/-/chagonja.jpg)
Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja
Polisi nchini imepiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama vya kisiasa , vyenye mwelekeo wa kijeshi kufanya kazi za ulinzi hadharani kwa madai kuwa vinaingilia majukumu yao.Onyo hilo lilitolewa jana na Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mfunzo, Paul Chagonja wakati akizungumza na waaandishi wa habari Makao Makuu ya Polisi, Dar es Salaam.
Chagonja alivitaja vikundi hivyo na vyama vyao kwenye mabano kuwa ni Green Guard (CCM),...
11 years ago
Habarileo10 Mar
Msajili akerwa na vikundi vya ulinzi vya Chadema, CCM
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiri kukerwa na vikundi vya ulinzi vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM).