Vita dhidi ya ugaidi kuimarishwa
LICHA ya jeshi la polisi kuwakamata watuhumiwa 84 wa matukio ya kigaidi nchini na 17 kati yao kufunguliwa mashitaka, Rais Jakaya Kikwete amelitaka jeshi hilo kuendelea kujipanga kukabiliana na aina yoyote ya tishio la kigaidi, huku akisema Serikali itaendelea kuliwezesha katika kukabiliana nao.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Apr
Vita vya Kenya dhidi ya ugaidi
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Tunisia yatangaza vita dhidi ya ugaidi
5 years ago
BBCSwahili28 Jun
Je vita 'dhidi ya ugaidi' vitawahi kuitaisha?
10 years ago
BBCSwahili21 Sep
Je,Kenya inashinda vita dhidi ya ugaidi?
10 years ago
Habarileo03 Sep
OIC kusaidia vita dhidi ya ugaidi Afrika
JUMUIYA ya Nchi za Kiislamu Duniani (OIC), imelaani matukio ya kigaidi yanayoshika kasi, ikisema kamwe haiyaungi mkono makundi ya kigaidi yanayodai kufanya uhalifu kwa kigezo cha kutekeleza misingi ya dini ya Kiislamu.
10 years ago
Mtanzania09 May
Ulinzi wazidi kuimarishwa kesi za ugaidi
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
JESHI la Magereza mkoani hapa limezidi kuimarisha ulinzi ndani na nje ya majengo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, wakati wa kesi za watuhumiwa 60 wa matukio tofauti ya kigaidi.
Wakati ulinzi ukiimarishwa, mtuhumiwa mpya wa matukio ya kigaidi, Buchumi Hassan, amepandishwa kizimbani kusomewa mashtaka yake na kuunganishwa na watuhumiwa wenzake 60 na kufanya idadi yao kufikia 61.
Kwa wiki kadhaa sasa kulikuwa na ulinzi mkali wa askari magereza eneo hilo wakati wa...
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Hatua dhidi ya Ebola kuimarishwa
11 years ago
Habarileo28 Jun
Ataka elimu dhidi ya ukatili kuimarishwa
MWENYEKITI wa Umoja wa Wawakilishi wanawake (UWAWAZA) Mgeni Hassan Juma amezitaka asasi za kiraia kufanya kazi ya kutoa elimu kwa wananchi katika masuala mbalimbali ikiwemo ya vitendo vya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia.
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Vita dhidi ya ebola ni mapambano dhidi ya adui asiyeonekana