Waliopiga kura ya hapana walalamika kutishwa
>Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba waliopiga kura za hapana wamelazimika kuondoka Dodoma na kurudi Zanzibar kwa madai ya vitisho walivyopata kutoka kwa wenzao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili15 Jun
Taleban lawakata vidole waliopiga kura
11 years ago
Michuzi05 Mar
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
CHADEMA: Pigeni kura ya hapana
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewataka Watanzania kujiandaa kupiga kura ya hapana dhidi ya katiba itakayopelekwa kwao ikiwa na muundo wa serikali mbili unaotakiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)....
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Kura ya hapana yawagawa Zanzibar
10 years ago
BBCSwahili06 Jul
Ugiriki wapiga kura ya Hapana
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
CUF yapongeza kura za hapana
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Tanzania Bara Magdalena Sakaya.
Na Mwandishi wetu
CHAMA Cha Wananchi (CUF), kimewapongeza Wajumbe wote wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kupiga kura ya wazi ya hapana kuhusu Rasimu inayopendekezwa licha ya kuchukua posho zote za Bunge hilo wakati wakijua fika kuwa hakuna Katiba isiyokuwa na maridhiano.
Akizungumza katika Mikutano ya hadhara katika Vijiji vya Isakamuleme na Silambo vilivyopo katika Kata ya...
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Nitapiga kura ya hapana kwa Katiba
BAADA ya kufuatilia mwenendo mzima wa Bunge Maalum la Katiba nimejiridhisha kwamba katiba iliyopendekezwa ilipitishwa kwa hila kwa kuzingatia matakwa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kutokana na mazingira ya upitishwaji...
10 years ago
Vijimambo30 Sep
Kura za hapana,siri zarindima bungeni
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://mzalendo.net/wp-content/uploads/2014/02/bunge1-430x320.jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wajumbe watatu wanaowakilisha madherhebu ya dini na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge, walipewa fursa ya kuzungumza na kutoa kauli za kuwashawishi wajumbe wakubali...
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Kura ya hapana yatikisa Bunge Maalumu la Katiba