Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Butiku ahamasisha kura ya hapana Katiba Mpya

Joseph-ButikuNa Shomari Binda, Musoma
WAJUMBE wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wamewataka Watanzania kuikataa Katiba inayopendekezwa kwa kuwa haikuzingatia masilahi ya Watanzania.
Waliyasema hayo juzi katika ukumbi wa MCC, mjini Musoma kwenye mdahalo wa kujadili na kuelimisha wananchi kuhusiana na mchakato wa kupata Katiba Mpya na kuwataka kupiga kura ya hapana.
Akizungumza katika mdahalo huo, aliyekuwa Mjumbe wa Tume hiyo, Joseph Butiku, alisema mchakato wa kukusanya maoni ya Katiba,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Butiku: Si dhambi kupigia Katiba kura ya hapana

Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema si dhambi kwa wananchi kupiga kura ya hapana Katiba Inayopendekezwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nitapiga kura ya hapana kwa Katiba

BAADA ya kufuatilia mwenendo mzima wa Bunge Maalum la Katiba nimejiridhisha kwamba katiba iliyopendekezwa ilipitishwa kwa hila kwa kuzingatia matakwa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kutokana na mazingira ya upitishwaji...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kwa katiba hii kura yangu ni hapana

BAADA ya kufuatilia mwenendo mzima wa Bunge Maalum la Katiba, nimejiridhisha kwamba nikizingatia mimi ni mkweli na nina uhuru wa kupiga kura ya maoni, ya kwangu  ni “hapana, hapana, hapana”....

 

10 years ago

Mwananchi

Kura ya hapana yatikisa Bunge Maalumu la Katiba

Wajumbe wa Bunge la Maalumu la Katiba jana walianza kupiga kura za kuamua ibara za Katiba inayopendekezwa, huku kura za wajumbe kutoka Zanzibar zikiibua wasiwasi wa iwapo theluthi mbili itapatikana au la.

 

10 years ago

Mwananchi

Butiku: Yaliyonyofolewa Katiba Mpya yarudishwe

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema hatua ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kusogeza mbele tarehe ya Kura ya Maoni ya Katiba inayopendekezwa, iwe mwanzo wa kutafakari na ikiwezekana kurejesha mambo ya msingi yaliyoondolewa katika Rasimu ya Pili ya Katiba iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Butiku ataja makosa mchakato Katiba Mpya

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku (pichani) amesema kuwa mchakato wa Mabadiliko ya Katiba umefikia ulipo sasa, kutokana na makosa matatu makubwa yaliyofanywa na vyama vya siasa.

 

10 years ago

Dewji Blog

CUF yapongeza kura za hapana

magdalena-sakaya

Naibu Katibu Mkuu wa  Chama cha Wananchi (CUF) Tanzania Bara Magdalena Sakaya.

Na Mwandishi wetu

CHAMA   Cha Wananchi (CUF), kimewapongeza  Wajumbe wote wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kupiga kura ya wazi ya hapana kuhusu Rasimu inayopendekezwa licha ya kuchukua posho zote za Bunge hilo wakati wakijua fika kuwa hakuna Katiba isiyokuwa na maridhiano.

Akizungumza katika Mikutano ya hadhara katika Vijiji vya Isakamuleme na Silambo vilivyopo katika Kata ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Kura ya hapana yawagawa Zanzibar

Uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar (AG), Othman Masoud Othman wa kupinga vifungu 22 vya Rasimu ya Katiba na kupiga kura ya hapana, umeibua mjadala mkali Zanzibar na kuwapasua vichwa wanasheria, wanasiasa na wananchi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki wapiga kura ya Hapana

Maelfu ya raia wa Ugirik usiku wa leo wametawanyika katika mitaa ya mjini Anthens karibu na jengo la bunge,

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani