Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bavicha yashinikiza kuandaa Mgomo, maandamano

Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo Chadema BAVICHA limetoa saa 72 kwa Bodi ya mikopo nchini kutoa mikopo kwa asilimia 82 ya wanafunzi wa Elimu ya juu waliokosa na kwamba kukiuka agizo hilo watashinikiza mgomo na maandamano nchi nzima.

Bavicha inasema tayari imekwisha andaa mfumo maalumu wa kuendesha zoezi hilo linaolenga kushawishi vijana kupata haki yao ya msingi.

Kauli ya Bavicha imefatia siku chache baada Novemba 6, mwaka huu Jeshi la Polisi nchini kupiga marufuku...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.

 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo  maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).


Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...

 

10 years ago

Tanzania Daima

KGA wajiandaa kwa maandamano, mgomo

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama cha waongoza watalii mkoa wa Kilimanjaro (KGA), wameazimia kufanya mgomo na maandamano ili kuishinikiza serikali kusimamia sheria ya kuwataka mawakala wa utalii wawalipe waongoza...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AWAPONDA WAPINZANI KWA TABIA YAO YA KUANDAA MAANDAMANO BADALA YA MANDELEO YA WANANCHI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Maneromango leo wakati wa ziara yake wilayani Kisarawe, Pwani ya  kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kuata Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi.PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Wananchi wa Kata ya Maneromango wakisikiliza kwa makini hotuba ya Kinana katika mkutano huo. ambapo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yashinikiza amani Iraq

Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John Kerry amewasili Iraq na kulitahadharisha raifa hilo dhidi ya vita

 

10 years ago

Mwananchi

Bavicha wakesha wakichaguana

>Ni mnyukano wa vuta nikuvute. Hali hiyo ilijidhihirisha juzi na jana katika uchaguzi mkuu wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), uliomalizika katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam kwa Paschal Patrobas kuibuka mshindi wa nafasi ya uenyekiti.

 

11 years ago

Dewji Blog

Uchaguzi wa BAVICHA watangazwa

JOHN HECHE BAVICHA KIKAO CHA KAMATI UTENDAJI BAVICHA PIX NO 1

Mwenyekiti wa Taifa, Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA), John Heche.(Picha na Maktaba)

Na Mwandishi wetu

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche, ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Septemba 10, mwaka huu kutokana na umri wake kuwa mkubwa.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Heche alisema anaheshimu Katiba ya chama hicho ambapo kutokana na umri wake kuvuka miaka 30, hatagombea tena nafasi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

BAVICHA waivaa serikali

BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (BAVICHA), limelaani kitendo cha wanafunzi wa darasa la saba kufaulu mitihani yao na kushindwa kupangiwa shule kwa ajili ya kuendelea na...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

BAVICHA WATOA TAMKO

Katibu wa uenezi wa Baraza hilo la vijana BAVICHA Taifa Bwana EDWARD SIMBEYE akizungumza na wanahabari mapema leo juu ya hali ya mauaji ya mwenyekiti wa chama hicho mkoani Geita ALPHONCE MAWAZO na hatua ambazo watazichukua Na Exaud Msaka HabariBaraza la vijana la chama cha Demkocrasia na maendeleo chadema BAVICHA wametoa siku tatu kwa jeshi la polisi nchini kumwachia Mwenyekiti wa baraza

 

10 years ago

Tanzania Daima

BAVICHA kushambulia mikoa sita

BARAZA la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), kesho linatarajiwa kuanza operesheni ya kurejesha haki na usawa kwa Watanzania ambao wamenyonywa na kukandamizwa muda mrefu na utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani