Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bavicha wakesha wakichaguana

>Ni mnyukano wa vuta nikuvute. Hali hiyo ilijidhihirisha juzi na jana katika uchaguzi mkuu wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), uliomalizika katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam kwa Paschal Patrobas kuibuka mshindi wa nafasi ya uenyekiti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MRAMBA, YONA WAKESHA...

Mramba (kushoto) akiteta jambo na wakili wake, Peter Swai baada ya Mahakama kumhukumu miaka mitatu jela na faini ya shilingi milioni tano. Harun sanchawa na denis mtima
JOTO ya jiwe! Wafungwa wawili wapya katika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam, Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na mwenzake wa Nishati na Madini, Daniel Yona, wanadaiwa kukesha huku wakilia katika siku wakianza kutumikia kifungo chao cha miaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wandamanaji wakesha Hong Kong

Mamia ya waandamanaj wa Hong Kong wamezingirwa na Askari polisi wanaowataka kusitisha maandamano.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watendaji TANROADS wakesha darajani

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mhandisi Ako na watendaji wengine kusimamia ujenzi wa daraja la Mto Mkundi lililosombwa na mafuriko...

 

9 years ago

BBCSwahili

Vijana wakesha kuwakumbuka Raia Burundi

Vijana walikusanyika jijini Nairobi Kenya kuwakumbuka waliopoteza maisha kwenye ghasia za siku ya Ijumaa

 

10 years ago

Mwananchi

Mbeya City wakesha kulinda Sokoine

Katika kile kinachoonekana kutokuwa na imani na watu waliojitokeza katika mchezo wa juzi kati ya Prisons na Yanga, baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa ni mashabiki wa Mbeya City, waliingia lindoni baada ya mchezo huo ili kulinda Uwanja wa Sokoine usiharibiwe.

 

10 years ago

Mtanzania

Diamond, Ney wa Mitego wakesha siku saba

NA SHARIFA MMASI
NYOTA wa muziki Afrika Mashariki na Kati, Nasib Abdul ‘Diamond’ na Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, wametumia siku saba kukesha studio kurekodi wimbo wao mpya wa ‘Mapenzi au Pesa’.
Wimbo huo ulioanza kusikika hivi karibuni, Diamond na Ney wameshirikiana kwa mara ya pili baada ya wimbo wa ‘Muziki gani’.
Ney alisema ‘Mapenzi au Pesa’ ni wimbo wa kwanza kuukeshea studio na kupata usingizi kidogo kwa siku saba mfululizo.
“Kwa mara ya kwanza tangu nianze kuimba muziki, wimbo...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAKIGOMA WAKESHA WAKIMSUBIRI MWIGULU NCHEMBA ILIWAMDHAMINI KWENYE MBIO ZA URAIS NCHINI TANZANIA


Ndugu Mwigulu Nchemba mgombea Urais ndani ya CCM akionesha Orodha ya WanaCCM waliomdhamini mkoa wa Kigoma hii leo.Mwigulu Nchemba akisalimiana na WanaCCM walioamua kwa dhati kumdhamini iliaweze kupitishwa na Chama cha Mapinduzi kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Baadhi ya Wadhamini wa Mwigulu Nchemba hapa Kigoma,Wadhamini hawa wametumiza Zaidi ya Masaa 7 kumsubiri Mwigulu Nchemba aliyekuwa akitokea Mkoa wa Kagera.Awali walitangaziwa kuwa Mwigulu atawasili saa 7...

 

11 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE (CCM) JIMBO LA KALENGA GODFREY MGIMWA AHUTUBIA KWENYE MVUA KUBWA,WANANCHI WAKESHA NAE.!

 Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na mmoja wa wanakijiji,mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa kampeni wa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo,uliofanyika katika kijiji cha Wenda kata ya Mseke-Iringa Vijijini,huku kukiwa na mvua kubwa ikinyesha,ambayo hata hivyo haikuzuia kufanyika kwa mkutano huo.Wananchi wa Kijiji hicho walionekana kuw ana shauku kubwa ya kutaka kumsikiliza Mgombea huyo bila kujali kulowana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani