BAVICHA waivaa serikali
BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (BAVICHA), limelaani kitendo cha wanafunzi wa darasa la saba kufaulu mitihani yao na kushindwa kupangiwa shule kwa ajili ya kuendelea na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
BAVICHA: Serikali ijitathmini Warioba kufanyiwa fujo
BARAZA la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), mkoani Morogoro, limeitaka serikali na vyombo vyake vya dola nchini kujitathimini juu ya utendaji wake kutokana na kufumbia macho kufanyiwa fujo aliyekuwa Mwenyekiti wa...
10 years ago
Tanzania Daima09 Dec
BAVICHA yamvaa Pinda uchaguzi serikali za mitaa
BARAZA la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), limeitaka Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa (Tamisemi), kutoa majibu ya haraka juu ya kuenguliwa kwa wagombea wa chama hicho katika uchaguzi wa...
10 years ago
Mwananchi11 May
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU: Chaso waivaa NEC
11 years ago
Habarileo06 Aug
Wajumbe Bunge la Katiba waivaa Tume ya Warioba
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wamewajia juu waliokuwa Wajumbe wa Kamati ya Kukusanya Maoni ya Katiba wakidai kuwa kazi yao ilishaisha, hivyo kuendelea kujadili masuala kuhusu Rasimu ya Katiba si sahihi.
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Azam waivaa Ferraviario ndani Azam Complex
11 years ago
Dewji Blog28 Jul
Uchaguzi wa BAVICHA watangazwa
Mwenyekiti wa Taifa, Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA), John Heche.(Picha na Maktaba)
Na Mwandishi wetu
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche, ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Septemba 10, mwaka huu kutokana na umri wake kuwa mkubwa.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Heche alisema anaheshimu Katiba ya chama hicho ambapo kutokana na umri wake kuvuka miaka 30, hatagombea tena nafasi...
9 years ago
CHADEMA BlogBAVICHA WATOA TAMKO
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Bavicha wakesha wakichaguana
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
BAVICHA kuwasaidia waendesha bodaboda
BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limeahidi kuwasaidia waendesha bodaboda waliozuiwa kufanya shughuli zao katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Wiki chache zilizopita, Serikali ya...