Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajumbe Bunge la Katiba waivaa Tume ya Warioba

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wamewajia juu waliokuwa Wajumbe wa Kamati ya Kukusanya Maoni ya Katiba wakidai kuwa kazi yao ilishaisha, hivyo kuendelea kujadili masuala kuhusu Rasimu ya Katiba si sahihi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kwaheri Tume ya Warioba, karibu Bunge la Katiba

>Safari ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba imeshafikia ukingoni, imefika hapa ilipofika. Imekwishakabidhi rasimu yake ya pili kwa Rais Jakaya Kikwete, sasa inasubiri tu kuiwasilisha katika Bunge Maalumu la Katiba mapema mwezi ujao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tume ya Warioba ilikuwa na wajumbe si wawakilishi

NIANZE kwa kukushukuru wewe msomaji wangu kwa namna unavyonitia moyo pale unaponitumia ujumbe mfupi wa simu au kunipigia ama kwa kukubaliana na mimi au kutofatiana na mimi katika mada zangu...

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge lajigeuza Tume ya Warioba

Neville Meena na Fidelis Butahe, Mwananchi Dodoma. Kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kukusanya maoni ya makundi na wananchi mbalimbali, kimepokewa kwa hisia tofauti, baadhi ya wasomi wakisema ni kinyume cha sheria na kuonyesha kutapatapa huku Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akisema linafanya kazi ambayo tayari tume yake ilishaifanya. Hata hivyo, Katibu wa Bunge hilo, Yahya Khamis Hamad amesema litaendelea kupokea mapendekezo kutoka kwa watu na...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yairarua Tume ya Warioba

Ummy Mwalimu WAJUMBE wengi wa Kamati Namba Moja ya Bunge hilo, wameona kuwa hatua ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kupendekeza uwepo wa serikali tatu, imekiuka Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajumbe Tume ya Katiba kuwasha moto

WAJUMBE wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Humphrey Polepole na Awadhi Ali, leo wanatarajiwa kuwasha moto katika mdahalo wa wazi kuhusu changamoto za mchakato wa katiba mpya utakaofanyika Ukumbi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani