Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ubalozi wajiandaa kuondoa Watanzania Afrika Kusini

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.UBALOZI wa Tanzania nchini Afrika Kusini umesema umeanza utambuzi wa Watanzania waishio katika maeneo ya hatari nchini humo kabla ya kuanza hatua za kuwaondoa na kuwarejesha nyumbani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Rwanda yatimua maofisa Ubalozi wa Afrika Kusini

Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Louise MushikiwaboSERIKALI ya Rwanda, imefukuza maofisa sita wa ubalozi wa Afrika Kusini muda mfupi baada ya nchi hiyo kuwataka maofisa wa watatu ubalozi wa Rwada kuondoka Afrika Kusini.

 

11 years ago

Michuzi

Ubalozi wa Afrika ya kusini na Vodacom waadhimisha siku ya Nelson Mandela

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(Kusho)pamoja na Afisa wa Ubalozi wa Afrika ya Kusini Nkhetheleni Mphohoni na Afisa Mawasiliano wa Vodacom,Gloria Mtui wakigawa zawadi za tisheti na kofia kwa wanafunzi na wa shule ya watoto wenye mahitaji maalum ya Sinza jijini Dar es Salam wakati wa maadhimisho ya siku ya Mandela iliyoandaliwa na Ubalozi wa Afrika ya kusini nchini na kufanyika leo shuleni hapo. Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Maifa la Kuhudumia wakimbizi...

 

11 years ago

GPL

UBALOZI WA AFRIKA YA KUSINI NA VODACOM WAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA NELSON MANDELA‏

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(Kusho)pamoja na  Afisa wa Ubalozi wa Afrika ya Kusini Nkhetheleni Mphohoni na Afisa Mawasiliano wa Vodacom,Gloria Mtui wakigawa zawadi za  tisheti na kofia kwa wanafunzi na   wa shule ya watoto wenye mahitaji maalum ya Sinza jijini Dar es Salam wakati wa  maadhimisho ya siku ya Mandela iliyoandaliwa na Ubalozi wa Afrika ya kusini nchini na kufanyika leo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ubalozi wa Afrika ya Kusini, Umoja wa Mataifa (UN) na Vodacom waadhimisha siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela

002

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Joyce Mends-Cole akizungumza na baadhi ya wadau waliohudhuria katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Nelson Mandela  kabla ya kusoma ujumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Mooniliyofanyika leo duniani kote na hapa nchini imeadhimishwa katika shule ya watoto wenye mahitaji maalum na kudhaminiwa na Vodacom.

Na Mwandishi wetu

Wafanyakazi wa Ubalozi wa Afrika ya kusini nchini Tanzania,...

 

10 years ago

Habarileo

‘Watanzania hawajafa Afrika Kusini’

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu hatua zilizochukuliwa na Serikali kwa watanzania waishio Afrika Kusini, kutokana na machafuko yaliyotokea nchini humo. (Picha na Fadhili Akida).SERIKALI imesema hakuna Mtanzania aliyekufa Afrika Kusini, licha ya watu kadhaa kutoka mataifa mengine kupoteza maisha.

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania waliokuwa Afrika Kusini warudishwa

Dar es Salaam. Serikali imewarejesha nyumbani Watanzania 26 walioathiriwa na mashambulizi yanayofanywa na wazawa dhidi ya wageni katika Jiji la Durban nchini Afrika Kusini.

 

10 years ago

Mtanzania

Watanzania 23 walijificha dukani Afrika Kusini

Patricia Kimelemeta na Grace Shitundu
SERIKALI imesema Watanzania 23 wamenusurika kuuawa katika ghasia zinazoendelea nchini Afrika Kusini baada ya kujificha kwenye duka kubwa (Supermarket).
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alisema hadi jana hakuna taarifa za Mtanzania aliyepoteza maisha.
Alisema katika vurugu hizo, watu wanane ambao walifariki dunia wanatoka nchi za Malawi, Msumbiji, Ethiopia,...

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania 23 waishi kambini Afrika Kusini

Dar es Salaam. Watanzania 23 wamewekwa kwenye kambi maalumu ya Isipingo nchini Afrika Kusini ili kupewa ulinzi kutokana na mashambulizi yanayofanywa na wazawa wa nchi hiyo dhidi ya wageni.

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WALIOKUWA AFRIKA KUSINI WAMEREJEA NYUMBANI

Kundi la Watanzania 26 limerejea nyumbani kutoka Afrika Kusini leo tarehe 26 Aprili, 2015 kufuatia mashambulizi ya wazawa dhidi ya wageni. Kundi hilo la kwanza kurejea nyumbani liliwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere saa 11 alfajiri na Ndege ya Fast Jet.
Watanzania hao walikuwa wanaishi katika kambi za dharura za Isipingo na Phoenix zilizopo jijini Durban. Walisindikizwa kurudi nyumbani na Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Bw. Elibahati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani