Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania 23 waishi kambini Afrika Kusini

Dar es Salaam. Watanzania 23 wamewekwa kwenye kambi maalumu ya Isipingo nchini Afrika Kusini ili kupewa ulinzi kutokana na mashambulizi yanayofanywa na wazawa wa nchi hiyo dhidi ya wageni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Watanzania hawajafa Afrika Kusini’

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu hatua zilizochukuliwa na Serikali kwa watanzania waishio Afrika Kusini, kutokana na machafuko yaliyotokea nchini humo. (Picha na Fadhili Akida).SERIKALI imesema hakuna Mtanzania aliyekufa Afrika Kusini, licha ya watu kadhaa kutoka mataifa mengine kupoteza maisha.

 

10 years ago

Mtanzania

Watanzania 23 walijificha dukani Afrika Kusini

Patricia Kimelemeta na Grace Shitundu
SERIKALI imesema Watanzania 23 wamenusurika kuuawa katika ghasia zinazoendelea nchini Afrika Kusini baada ya kujificha kwenye duka kubwa (Supermarket).
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alisema hadi jana hakuna taarifa za Mtanzania aliyepoteza maisha.
Alisema katika vurugu hizo, watu wanane ambao walifariki dunia wanatoka nchi za Malawi, Msumbiji, Ethiopia,...

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania waliokuwa Afrika Kusini warudishwa

Dar es Salaam. Serikali imewarejesha nyumbani Watanzania 26 walioathiriwa na mashambulizi yanayofanywa na wazawa dhidi ya wageni katika Jiji la Durban nchini Afrika Kusini.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania waingia, waishi China kinyemela

Balozi wa Tanzania nchini China, Abdulrahman Shimbo WATANZANIA wengi wametajwa kuingia na kuishi nchini China kinyemela na kusababisha wanapopata matatizo yanayohitaji msaada wa serikali kushindikana kupewa, kwa kuwa hawamo katika utaratibu wa Diaspora.

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WALIOKUWA AFRIKA KUSINI WAREJEA NYUMBANI

KUNDI la Watanzania 26 limerejea nyumbani kutoka Afrika Kusini  leo tarehe 25 Aprili, 2015 kufuatia mashambulizi ya wazawa dhidi ya wageni.  Kundi hilo la kwanza kurejea nyumbani liliwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere saa 11 alfajiri na Ndege ya Fast Jet.  Watanzania hao walikuwa wanaishi katika kambi za dharura za Isipingo na Phoenix zilizopo jijini Durban. Walisindikizwa kurudi...

 

10 years ago

Habarileo

Ubalozi wajiandaa kuondoa Watanzania Afrika Kusini

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.UBALOZI wa Tanzania nchini Afrika Kusini umesema umeanza utambuzi wa Watanzania waishio katika maeneo ya hatari nchini humo kabla ya kuanza hatua za kuwaondoa na kuwarejesha nyumbani.

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WALIOKUWA AFRIKA KUSINI WAMEREJEA NYUMBANI

Kundi la Watanzania 26 limerejea nyumbani kutoka Afrika Kusini leo tarehe 26 Aprili, 2015 kufuatia mashambulizi ya wazawa dhidi ya wageni. Kundi hilo la kwanza kurejea nyumbani liliwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere saa 11 alfajiri na Ndege ya Fast Jet.
Watanzania hao walikuwa wanaishi katika kambi za dharura za Isipingo na Phoenix zilizopo jijini Durban. Walisindikizwa kurudi nyumbani na Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Bw. Elibahati...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yaitaka Serikali kuangalia Watanzania waliopo Afrika Kusini

>Chama cha Chadema, kimeitaka Serikali kuchukua hatua za dharura kuwarudisha nyumbani Watanzania wanaoishi Afrika Kusini kutokana na kuwepo kwa machafuko nchini humo.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATANZANIA 26 WALIOKUWA AFRIKA KUSINI WAREJEA NYUMBANI


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA


Kundi la Watanzania 26 limerejea nyumbani kutoka Afrika Kusini  leo tarehe 26 Aprili, 2015 kufuatia mashambulizi ya wazawa dhidi ya wageni.  Kundi hilo la kwanza kurejea nyumbani liliwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere saa 11 alfajiri na Ndege ya Fast Jet.  Watanzania hao walikuwa wanaishi katika kambi za dharura za Isipingo na Phoenix zilizopo jijini Durban. Walisindikizwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani