Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yaitaka Serikali kuangalia Watanzania waliopo Afrika Kusini

>Chama cha Chadema, kimeitaka Serikali kuchukua hatua za dharura kuwarudisha nyumbani Watanzania wanaoishi Afrika Kusini kutokana na kuwepo kwa machafuko nchini humo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

ANC yaitaka Afrika Kusini ijiondoe katika ICC

Afrika Kusini huenda ikajiondoa kutoka kwa mahakama ya kimataifa ya ICC.

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yazungumzia hatima ya watanzania waliopo Burundi

NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
SERIKALI imesema itawaondoa Watanzania walioko Burundi baada ya kupata maombi yao kama wana matatizo kutokana na vurugu ambazo zimekuwa zikiendelea nchini humo kwa wiki kadha sasa.
Machafuko nchini humo yalianza baada ya Rais Pierre Nkurunziza kutangaza kuwa atawania awamu ya tatu katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwezi ujao.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mkuu wa Mawasiliano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mindi Kasiga, alisema...

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI KUWARUDISHA NCHINI WATANZANIA WALIOPO YEMEN

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

 



Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600              

 

 

                20 KIVUKONI FRONT,                           P.O. BOX 9000,                  11466 DAR ES SALAAM,                                      Tanzania.

 


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Serikali kuwarudisha nchini Watanzania waliopo Yemen


Mhe....

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA WATU 39 KUTOKA AFRIKA KUSINI WAPNDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUSAIDIA KUNUNUA TAULO MAALUMU KWA WASICHANA WALIOPO MASHULENI PINDI WAWAPO KATIKA HEDHI

Mwanzilishi wa taasisi ya Imbumba Foundation ,Richard Mabaso akizungumza lengo la safari hiyo ya kupanda Mlima Kilimanjaro ijulikanao kama Trek4 Mandela ambayo ni mahususi kwa ajili ya kuchangisha fedha zausaidia wasichana walioko mashuleni.
Mkurugenzi mkuu wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Washiriki wa Changamoto hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa Tanzania,Allan Kijazi.
Katika timu hiyo wamo wakurugenzi...

 

10 years ago

Habarileo

‘Watanzania hawajafa Afrika Kusini’

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu hatua zilizochukuliwa na Serikali kwa watanzania waishio Afrika Kusini, kutokana na machafuko yaliyotokea nchini humo. (Picha na Fadhili Akida).SERIKALI imesema hakuna Mtanzania aliyekufa Afrika Kusini, licha ya watu kadhaa kutoka mataifa mengine kupoteza maisha.

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania waliokuwa Afrika Kusini warudishwa

Dar es Salaam. Serikali imewarejesha nyumbani Watanzania 26 walioathiriwa na mashambulizi yanayofanywa na wazawa dhidi ya wageni katika Jiji la Durban nchini Afrika Kusini.

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania 23 waishi kambini Afrika Kusini

Dar es Salaam. Watanzania 23 wamewekwa kwenye kambi maalumu ya Isipingo nchini Afrika Kusini ili kupewa ulinzi kutokana na mashambulizi yanayofanywa na wazawa wa nchi hiyo dhidi ya wageni.

 

10 years ago

Mtanzania

Watanzania 23 walijificha dukani Afrika Kusini

Patricia Kimelemeta na Grace Shitundu
SERIKALI imesema Watanzania 23 wamenusurika kuuawa katika ghasia zinazoendelea nchini Afrika Kusini baada ya kujificha kwenye duka kubwa (Supermarket).
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alisema hadi jana hakuna taarifa za Mtanzania aliyepoteza maisha.
Alisema katika vurugu hizo, watu wanane ambao walifariki dunia wanatoka nchi za Malawi, Msumbiji, Ethiopia,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani