Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANC yaitaka Afrika Kusini ijiondoe katika ICC

Afrika Kusini huenda ikajiondoa kutoka kwa mahakama ya kimataifa ya ICC.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

ICC yaitaka A. Kusini kumkamata Bashir

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC imeitaka Afrika Kusini kumkamata rais wa Sudan Omar Al-Bashir

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yaitaka Serikali kuangalia Watanzania waliopo Afrika Kusini

>Chama cha Chadema, kimeitaka Serikali kuchukua hatua za dharura kuwarudisha nyumbani Watanzania wanaoishi Afrika Kusini kutokana na kuwepo kwa machafuko nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika Kusini yanyimwa rufaa kuhusu ICC

Korti nchini Afrika Kusini imekataa ombi la serikali kutaka kukata rufaa uamuzi wa kuishutumu kwa kutomkamata Bashir alipozuru taifa hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika Kusini huenda ikajiondoa kwenye ICC

Afrika Kusini imeonya kuwa huenda ikajiondoa kutoka kwa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC kuhusiana na jaribio la kumkamata rais wa Sudan Omar al Bashir

 

10 years ago

Vijimambo

AFRIKA KUSINI YAPUUZIA OMBI LA MAHAKAMA YA ICC LA KUMKAMATA RAIS AL-BASHIR

Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), imeitaka Afrika Kusini kumkamata rais wa Sudan Omar Al-Bashir ambaye anaripotiwa kusafiri kwenda nchini humo kuhudhuria mkutano wa Muungano wa nchi za Afrika ambao unaanza leo Jumapili.
Kwenye taarifa yake, ICC imesema kuna waranti mbili za kumkamata Bashir anayetakiwa na mahakama hiyo kuhusiana na tuhuma za kuhusika na uhalifu ulitokea katika jimbo la Darfur na kwamba anakabiliwa na kesi inayohusiana na uhalifu wa kivita na mauaji ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mila za Afrika kusini katika mazishi

Kwa mila za SA, mtu wa heshima ya juu akifariki hufanyiwa tambiko za kumisfu, basi je Nelson Mandela alipewa heshima gani?

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika Kusini walemea Argentina katika raga

Afrika Kusini imemaliza nambari tatu katika Kombe la Dunia la Raga baada ya kuibuka na ushindi dhidi ya Argentina.

 

10 years ago

Vijimambo

TTB KATIKA MAONESHO YA UTALII INDABA AFRIKA KUSINI

Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mh. Radhia Msuya (katikati) katika picha ya pamoja na waoneshaji kutoka taasisi za serikali katika maonesho ya INDABA AFrika Kusini. Wa pili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania bii Devota Mdachi.Waoneshaji kutoka tasisi za Serikali katika maonesho ya INDABA Durban Afrika Kusini wakiwa kazini kuitangaza Tanzania.
Na Geofrey Tengeneza
Banda la Tanzania katika maonesho ya Kimataifa ya INDABA yaliofanyika katika jiji la Durban...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani