TTB KATIKA MAONESHO YA UTALII INDABA AFRIKA KUSINI
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mh. Radhia Msuya (katikati) katika picha ya pamoja na waoneshaji kutoka taasisi za serikali katika maonesho ya INDABA AFrika Kusini. Wa pili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania bii Devota Mdachi.Waoneshaji kutoka tasisi za Serikali katika maonesho ya INDABA Durban Afrika Kusini wakiwa kazini kuitangaza Tanzania.
Na Geofrey Tengeneza
Banda la Tanzania katika maonesho ya Kimataifa ya INDABA yaliofanyika katika jiji la Durban...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Banda la Bodi ya Utalii Afrika Kusini kwenye maonesho ya kimataifa ya Swahili Expo (SiTE)
Rais wa Tanzania Mh.Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Bodi ya Utalii Afrika Kusini Bi. Evelyn Mahlaba wakati wa ufunguaji wa maonesho ya Kimataifa ya Utalii Swahili Expo jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Bodi ya Utalii Afrika Kusini Bi. Evelyn Mahlaba akifanya mahojiano na mwandishi wa Capital Tv Bi. Yvonne Msemembo kabla ya uzinduzi wa maonesho ya kimataifa ya Utalii Swahili Expo jijini Dar Es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Kanda ya...
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Afrika kubeba maonyesho ya utalii Indaba 2014
MEI 10 mwaka huu ni siku ambayo dunia itashuhudia ufunguzi wa maonyesho makubwa ya biashara na utalii yajulikanayo kama Indaba 2014 yatakayofanyika jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Washiriki 398 wamethibitisha kushiriki na wengine...
10 years ago
Vijimambo08 Dec
BODI YA UTALII TANZANIA (TTB) TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA SUNDERLAND (SAFC) ZATANGAZA UTALII WA TANZANIA UINGEREZA
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) na Timu ya mpira wa miguu ya Sunderland (SAFC) zatangaza utalii wa Tanzania Uingereza
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mh. Peter Kallaghe na Garry Hutchinson Mkurugenzi wa Biashara wa timu ya mpira ya Sunderland wakionyesha jezi ya iliyoandikwa Tanzania yenye rangi za timu hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa matangazo ya Utalii wa Tanzania yanayotangazwa katika uwanja wa timu hiyo kutoka kulia ni Meneja wa Masoko wa Bodi ya Utalii Bw. Geofrey Meena, Teddy Mapunda mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya (TTB) na kutoka kushoto ni Mdau wa Utalii Bw. Nestor Mapunda na Kaimu Mkurugenzi...
10 years ago
MichuziBANDA LA TANZANIA LATIKISA MAONESHO YA INDABA
Na: Geofrey Tengeneza.Banda la Tanzania katika maonesho ya Kimataifa ya INDABA yaliofanyika katika jiji la...
10 years ago
MichuziTANZANIA YATIA FORA KATIKA MAONESHO YA UTAMADUNI NA UTALII CANADA
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAILIASILI NA UTALII AFUNGUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA KILIFAIR 2015
10 years ago
VijimamboNAIBU WAZIRI WA MAILIASILI NA UTALII,MOHAMED MGIMWA AFUNGUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA KILIFAIR 2015.
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Naibu Waziri wa Mailiasili na Utalii, Mohamed Mgimwa afungua maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Kilifair 2015