Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YATIA FORA KATIKA MAONESHO YA UTAMADUNI NA UTALII CANADA

Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Canada kwa ushirikiano na The Canadian Comprehensive Auditing Foundation - La Fondation Canadienne Pour la Verification Integree (CCAF - FCVI Inc.), kwa pamoja wameandaa hafla ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchi za Tanzania, Senegal na Ghana.  Hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Canada pia imedhaminiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Canada.  Katika hafla hiyo ambayo iliambatana na utoaji wa mada juu ya utamaduni na utalii,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA TCAA YATIA FOLA KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Wanafunzi wa shule ya sekondari Mnazi Mmoja wakiangalia moja ya mfano wa ndege wakati walipotembelea katika banda la Mamalaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA, Katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Afisa Utwala Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA,Catherine Morarya akiwaonyesha Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mnazi Mmoja ya jijini Dar es Salaam redio ya upepo inayotumika...

 

10 years ago

Michuzi

KINAMAMA WAJASIRIAMALI WATIA FORA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA NDOLA, ZAMBIA

Tarehe 1 hadi 7 Julai 2015 kulikuwako maonyesho ya kibiashara yaliyofanyika mji wa Ndola. Kama ilivyo ada kwa Watanzania, walishiriki maonesho hayo na kutia fora kwa bidhaa zao mbalimbali. Kikundi cha Wajasiriamali kinachojulikana HOT kutoka Dar es Salaam kilishiriki kama kinvyoonekana kwenye picha mbali mbali wakiwa wamepiga picha na Balozi wetu wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace J. Mujuma. Balozi alikwenda Ndola kuwaunga mkono. Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace J. Mujuma...

 

10 years ago

Mwananchi

Kwaya ya Makongoro yatia fora

Maudhui ya wimbo uitwao ‘Chezea Pengine’ yanayokosoa viongozi wasiojali wananchi yaliamsha shangwe kutoka kwa wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jana.

 

10 years ago

Habarileo

Misemo ya Kikwete yatia fora bungeni

MISEMO na mifano aliyotoa Rais Jakaya Kikwete wakati anahutubia Bunge jana ilikuwa kivutio kikubwa kwa wabunge hao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yatia fora Sierra Leone.

Shirika la afya ulimwenguni WHO limetoa ripoti juu ya nchi ya Sierra Leone kuzipiku kitakwimu nchi za Afrika Magharibi :Ebola.

 

10 years ago

Mwananchi

Tume ya Jaji Warioba yatia fora Dar

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema mambo yanayotokea sasa nchini, kama viongozi kuwa na akaunti nje ya nchi na kudai ni ‘vijisenti’, Serikali kuingia mikataba yenye utata isiyohojiwa popote ni matokeo ya nchi kuwa na Katiba yenye maswali mengi kuliko majibu.

 

10 years ago

Vijimambo

MIAKA 38 YA CCM YATIA FORA MJINI SONGEA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wakati akiingia kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCMMsanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiiingia uwanja wa maji maji akiwa juu ya gari.Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria.Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na kijana wa chipukizi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za maadhimisho ya...

 

10 years ago

Michuzi

Hassan Maajar Trust yatia fora katik aWiki ya Elimu Dodoma

Inline image 3
Waziri Mkuu Mweshmiwa Mizengo Pinda akijadili jambo na Ambassador Bertha Semu-Somi(Mama madawati) na Project Officer Kayemarie Bukila alipotembelea Banda la Hassan Maajar Trust 

Inline image 1
Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mweshmiwa Dr.Shukuru Kawambwa alipotembelea banda la Hassan Maajar Trust

Inline image 4
Naibu waziri Elimu-Tamisemi Mweshmiwa Kassim M Majaaliwa alipotembelea kibanda cha hassanmaajartrust Inline image 2
Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mweshmiwa Anna Kilango akimsikiliza Mama Madawati(Bertha...

 

5 years ago

CCM Blog

MAANDAMANO YA UFUNGUZI WA SAUTI ZA BUSARA (CARNIVAL PARADE ) YATIA FORA ZANZIBAR

 Pichani matukio mbalimbali ya matembezi hayo.

(Picha zote kwa hisani ya Link Reuben, Sauti za Busara).








NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR. 

MAANDAMANO ya ufunguzi wa tamasha la 17 la Sauti za Busara (Carnival Parade) mchana wa Februari 13 limetia fora kwa vikundi zaidi ya 16 kuonyesha sanaa yao mitaani.

Paredi hilo la aina yake likiwa pamoja na wananchi mbalimbali lilitumia umbali wa kilometa 1.6 kutokea Mapinduzi Square  hadi viunga vya Ngome Kongwe, katika bustani ya Forodhani. 

Aina ya sanaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani