MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA TCAA YATIA FOLA KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Wanafunzi wa shule ya sekondari Mnazi Mmoja wakiangalia moja ya mfano wa ndege wakati walipotembelea katika banda la Mamalaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA, Katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Afisa Utwala Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA,Catherine Morarya akiwaonyesha Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mnazi Mmoja ya jijini Dar es Salaam redio ya upepo inayotumika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMamlaka za Usafiri wa Anga zashiriki kikamilifu katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
Baraza la ushauri la watumiaji usafiri wa Anga TCAA-CCC washiriki kikamilifu wiki ya Utumishi wa Umma Mnazi Mmoja Dar
Watumishi wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC)wakitoa huduma kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda hilo leo.
Kikosi kazi cha Watumishi wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC) wakiwa tayari kutoa huduma kwa wageni mbalimbali watakaotembelea banda hilo katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Athuman Bakari, Aziza Tamim na Debora Mligo.
Katibu Mtendaji wa...
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) WALIVYOADHIMISHA WIKI YA MAZINGIRA
10 years ago
VijimamboBARAZA LA USHAURI LA WATUMIAJI USAFIRI WA ANGA TCAA-CCC WASHIRIKI KIKAMILIFU WIKI YA UTUMISHI WA UMMA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM
Katibu Mtendaji wa Baraza...
11 years ago
MichuziMAMLKAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YAUSAFIRI WA ANGA NCHINI CHINA (CAAC) WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA NDEGE ZINAZOTENGENEZWA CHINA KUTUA KATIKA ANGA LA TANZANIA
11 years ago
MichuziMAMLKAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YAUSAFIRI WA ANGA NCHINI CHINA (CAAC) WASAINI MKATBA WA USHIRIKIANO WA NDEGE ZINAZOTENGENEZWA CHINA KUTUA KATIKA ANGA LA TANZANIA
9 years ago
VijimamboMAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) YAKATAZA KURUSHA CHOPA BILA KIBALI KWA WAGOMBEA KATIKA UCHAGUZI MKUU 2015
11 years ago
GPLWAZIRI WA UCHUKUZI DK.HARRISON MWAKYEMBE AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA)
11 years ago
MichuziMamlaka ya usafiri wa anga Tanzania TCAA, Watoa Elimu ya Anga Nane Nane Dodoma