Misemo ya Kikwete yatia fora bungeni
MISEMO na mifano aliyotoa Rais Jakaya Kikwete wakati anahutubia Bunge jana ilikuwa kivutio kikubwa kwa wabunge hao.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi10 Dec
Kwaya ya Makongoro yatia fora
Maudhui ya wimbo uitwao ‘Chezea Pengine’ yanayokosoa viongozi wasiojali wananchi yaliamsha shangwe kutoka kwa wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jana.
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Ebola yatia fora Sierra Leone.
Shirika la afya ulimwenguni WHO limetoa ripoti juu ya nchi ya Sierra Leone kuzipiku kitakwimu nchi za Afrika Magharibi :Ebola.
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Tume ya Jaji Warioba yatia fora Dar
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema mambo yanayotokea sasa nchini, kama viongozi kuwa na akaunti nje ya nchi na kudai ni ‘vijisenti’, Serikali kuingia mikataba yenye utata isiyohojiwa popote ni matokeo ya nchi kuwa na Katiba yenye maswali mengi kuliko majibu.
10 years ago
Vijimambo
MIAKA 38 YA CCM YATIA FORA MJINI SONGEA




10 years ago
Michuzi
TANZANIA YATIA FORA KATIKA MAONESHO YA UTAMADUNI NA UTALII CANADA
Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Canada kwa ushirikiano na The Canadian Comprehensive Auditing Foundation - La Fondation Canadienne Pour la Verification Integree (CCAF - FCVI Inc.), kwa pamoja wameandaa hafla ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchi za Tanzania, Senegal na Ghana. Hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Canada pia imedhaminiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Canada. Katika hafla hiyo ambayo iliambatana na utoaji wa mada juu ya utamaduni na utalii,...
10 years ago
Michuzi14 May
Hassan Maajar Trust yatia fora katik aWiki ya Elimu Dodoma
Waziri Mkuu Mweshmiwa Mizengo Pinda akijadili jambo na Ambassador Bertha Semu-Somi(Mama madawati) na Project Officer Kayemarie Bukila alipotembelea Banda la Hassan Maajar Trust
Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mweshmiwa Dr.Shukuru Kawambwa alipotembelea banda la Hassan Maajar Trust
Naibu waziri Elimu-Tamisemi Mweshmiwa Kassim M Majaaliwa alipotembelea kibanda cha hassanmaajartrust
Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mweshmiwa Anna Kilango akimsikiliza Mama Madawati(Bertha...
5 years ago
CCM Blog
MAANDAMANO YA UFUNGUZI WA SAUTI ZA BUSARA (CARNIVAL PARADE ) YATIA FORA ZANZIBAR

(Picha zote kwa hisani ya Link Reuben, Sauti za Busara).









MAANDAMANO ya ufunguzi wa tamasha la 17 la Sauti za Busara (Carnival Parade) mchana wa Februari 13 limetia fora kwa vikundi zaidi ya 16 kuonyesha sanaa yao mitaani.
Paredi hilo la aina yake likiwa pamoja na wananchi mbalimbali lilitumia umbali wa kilometa 1.6 kutokea Mapinduzi Square hadi viunga vya Ngome Kongwe, katika bustani ya Forodhani.
Aina ya sanaa...
10 years ago
MichuziNMB yatia fora Saba Saba
Mabanda ya Benki ya NMB katika maonyesho ya saba saba mwaka huu yametia fora kwa kuwa kivutio kikubwa kwa watu wengi kutembelea na kujipatia huduma mbali mbali ikiwemo huduma ya wateja kujaza fomu maalum za kubadirisha kadi zao za ATM kuwa za MasterCard, kuweka na kutoa fedha kupitia gari maalumu pamoja na huduma za NMB Wakala.
Ndani ya viwanja vya saba saba, banda la NMB lipo mtaa wa Mabalozi mkabala na banda la Sido, pia kuna gari maalumu lenye ATM moja na madisisha mawili ya wahudumu...
Ndani ya viwanja vya saba saba, banda la NMB lipo mtaa wa Mabalozi mkabala na banda la Sido, pia kuna gari maalumu lenye ATM moja na madisisha mawili ya wahudumu...
10 years ago
BBCSwahili11 Aug
Misemo ya bajaji Tanzania
Pikipiki za matairi matatu ama maarufu kwa jina la bajaji nchini Tanzania, zimekuwa ndio usafiri mkubwa mbadala wa umma katika jiji la Dar es Salaam. Kwa upande mwingine, pikipiki hizi zimekuwa njia mbadala ya kusambaza ujumbe mbalimbali kwa watu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania